Nifanye nini ili maombi yangu yajibiwe haraka?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Hello Jf.

Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)

Je, lengo lenu la kufunga lilitimia?

Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
 
Funga siku7 kunaabaadhi ya vyakula usile kifupi nyama nyekundu,midoli,pombe usinywe jioni,fanya 👉manifestation
Nasisitiza fanya 👉manifestation
Achilia kila kitu kibaya katika moyo wako,samehe,nasema hivi
👉samehe.
Kila ifikapo saa8:8 amka anza kufanya tahajud(meditation)
Ndani yahizo siku7 ukiacha kufanikisha jambo lako njoo hapa kwenye post yangu unitukane matusi 100 unayo dhani ndio mabaya zaidi kutukana.
Kwaushauli na msaada chukua namba kwenye profile yangu hapo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Hakikisha injini yako ya Scania haijaibwa ukawekewa ya Passo chunguza kwenye boneti injini yako ni hiyo hiyo?Lugha hii ni ngumu lakini mzizi ndio huu.
 
Funga siku7 kunaabaadhi ya vyakula usile kifupi nyama nyekundu,midoli,pombe usinywe jioni,fanya 👉manifestation
Nasisitiza fanya 👉manifestation
Achilia kila kitu kibaya katika moyo wako,samehe,nasema hivi
👉samehe.
Kila ifikapo saa8:8 amka anza kufanya tahajud(meditation)
Ndani yahizo siku7 ukiacha kufanikisha jambo lako njoo hapa kwenye post yangu unitukane matusi 100 unayo dhani ndio mabaya zaidi kutukana.
Kwaushauli na msaada chukua namba kwenye profile yangu hapo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
👆👆👆👆👆👆👆
 
Asante sana mkuu kwa neno

ila sijajua manifestation ni nini na inafanyikaje
 
Hello Jf.

Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)

Je lengo lenu la kufunga lilitimia?

Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Kinachotakiwa ni utilie Imani zaidi juu ya jambo unaloitaji kukuomba
 
Kuwa tu mtoaji sadaka sana unaweza omba dakika moja tu na ukapata majibu

Waombaji sanaa wanaofunga siku nyingi Wengi Huwa sio watoaji Yuko tayari kufunga siku 20 kutoa sadaka mgumu hatari

Ibrahim alibarikiwa sababu alikuwa mtoaji sana sadaka alikuwa tayari hata kutoa sadaka mwanawe ,Mfalme Suleiman alibarikiwa sana sababu ya sadaka alizotoa nyingi mno

Kama Wewe sio mtoaji sadaka sana usipoteze muda kuomba hata ufunge siku mia hutapata unachoomba utabaki kumlaumu Mungu Bure kuwa hajibu maombi
 
Hello Jf.

Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)

Je lengo lenu la kufunga lilitimia?

Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Hata ukifunga mpaka ufe hakuna mafanikio ya haraka! Uwezi ukapanda mbegu ya mwembe akaota na kukua na kuzaa matunda leo! Labda nenda kwa Mwamposa nadhani mnafanana akili
 
Hello Jf.

Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)

Je lengo lenu la kufunga lilitimia?

Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Kitu cha Kwanza unatakiwa uwe msafi kimwili
 
Samehe waliokukosea,tubu dhambi zako,funga siku zisizopungua 7,huku ukiwa na maombi mazito kati ya saa 7 mpk saa 9 usiku...
Maombi bila sadaka ni kazi bure na ubatili mtupu

Sala na sadaka zinatikiwa zote ziende kwa Mungu kwa mpigo

Matendo 10:3-4 kornelio aliambiwa sala zako na sadaka zimefika kwa Mungu sio sala pekee

Kuwa na waombaji sana wasiokuwa watoaji sadaka huwa vigumu wao kutoboa kimaisha na baadaye wengine huacha imani kuwa mbona wanaomba sana hawapati majibu

Ubahili wa kutoa sadaka kwa moyo wa ukunjufu sio kwa kulazimishwa huwa ndio sababu

Mtu akifikia level ya kutoa sadaka nyingi kwa moyo wa ukunjufu bila kulazimishwa maana Mungu humpenda atoaye kwa hiari na moyo wa ukunjufu lazima afanikiwe na akiomba hata dakika mbili tu anapata majibu hahitaji mfungo wa siku arobaini au hamsini kavu
 
Sadaka usisahau
Sasa hivi kuna shida kuna kundi la waombaji hao hatari wakiwemo hadi wachungaji lakini hata wakiambiwa watoe fungu la kumi waumini wagumu na wachungaji wagumu kupeleke fungu la kumi au sadaka stahiki makao makuu ya dini zao

Sadaka zote mchungaji anapokea hapeleki sadaka au fungu la kumi makao makuu yeye kama mchungaji fungu la kumi la kwake na la sadaka za kanisa lake

Tatizo la umaskini wa waumini na wachungaji makanisani mojawapo kubwa sio kuwa sio waombaji ni waombaji sana ila utoaji sadaka wako sifuri wawe wachungaji au mapadre wa katoliki

Chao wapatacho hawatoi sadaka na hawatafuti pa kutoa sadaka au fungu la kumi hata kama kadini ni ka kwao na familia yao
 
Sadaka usisahau
Sasa hivi kuna shida kuna kundi la waombaji hao hatari wakiwemo hadi wachungaji lakini hata wakiambiwa watoe fungu la kumi waumininwagumu na wachungaji wagumu kupeleke fungu la kumi au sadaka stahiki makao makuu ya dini zao
Sadaka zote mchungaji anapokea hapeleki sadaka au fungu la kumi makao makuu yeye kama mchungaji fungu la kumi la kwake na la sadaka za kanisa

Tatizo la umaskini wa waumini na wachungaji makanisani mojawapo kubwa sio kuwa sio waombaji ni waombaji sana ila utoaji sadaka wako sifuri wawe wachungaji au mapadre wa katoliki

Chao wapatacho hawatoi sadaka hawatafuti pa kutoa sadaka hata kama kadini ni ka kwao na familia
Oukay 🤔
 
Maombi bila sadaka ni kazi bure na ubatili mtupu

Sala na sadaka zinatikiwa zote ziende kwa Mungu kwa mpigo

Matendo 10:3-4 kornelio aliambiwa sala zako na sadaka zimefika kwa Mungu sio sala pekee

Kuwa na waombaji sana wasiokuwa watoaji sadaka huwa vigumu wao kutoboa kimaisha na baadaye wengine huacha imani kuwa mbona wanaomba sana hawapati majibu

Ubahili wa kutoa sadaka kwa moyo wa ukunjufu sio kwa kulazimishwa huwa ndio sababu

Mtu akifikia level ya kutoa sadaka nyingi kwa moyo wa ukunjufu bila kulazimishwa maana Mungu humpenda atoaye kwa hiari na moyo wa ukunjufu lazima afanikiwe na akiomba hata dakika mbili tu anapata majibu hahitaji mfungo wa siku arobaini au hamsini kavu
Kwaiyo ukisali bila kutoa sadaka sawa na unatwanga maji kwenye kinu ukitegemea yanoge
 
Back
Top Bottom