Maombi bila sadaka ni kazi bure na ubatili mtupu
Sala na sadaka zinatikiwa zote ziende kwa Mungu kwa mpigo
Matendo 10:3-4 kornelio aliambiwa sala zako na sadaka zimefika kwa Mungu sio sala pekee
Kuwa na waombaji sana wasiokuwa watoaji sadaka huwa vigumu wao kutoboa kimaisha na baadaye wengine huacha imani kuwa mbona wanaomba sana hawapati majibu
Ubahili wa kutoa sadaka kwa moyo wa ukunjufu sio kwa kulazimishwa huwa ndio sababu
Mtu akifikia level ya kutoa sadaka nyingi kwa moyo wa ukunjufu bila kulazimishwa maana Mungu humpenda atoaye kwa hiari na moyo wa ukunjufu lazima afanikiwe na akiomba hata dakika mbili tu anapata majibu hahitaji mfungo wa siku arobaini au hamsini kavu