Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
👆👆👆👆👆👆👆Funga siku7 kunaabaadhi ya vyakula usile kifupi nyama nyekundu,midoli,pombe usinywe jioni,fanya 👉manifestation
Nasisitiza fanya 👉manifestation
Achilia kila kitu kibaya katika moyo wako,samehe,nasema hivi
👉samehe.
Kila ifikapo saa8:8 amka anza kufanya tahajud(meditation)
Ndani yahizo siku7 ukiacha kufanikisha jambo lako njoo hapa kwenye post yangu unitukane matusi 100 unayo dhani ndio mabaya zaidi kutukana.
Kwaushauli na msaada chukua namba kwenye profile yangu hapo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana mkuu kwa nenoFunga siku7 kunaabaadhi ya vyakula usile kifupi nyama nyekundu,midoli,pombe usinywe jioni,fanya 👉manifestation
Nasisitiza fanya 👉manifestation
Achilia kila kitu kibaya katika moyo wako,samehe,nasema hivi
👉samehe.
Kila ifikapo saa8:8 amka anza kufanya tahajud(meditation)
Ndani yahizo siku7 ukiacha kufanikisha jambo lako njoo hapa kwenye post yangu unitukane matusi 100 unayo dhani ndio mabaya zaidi kutukana.
Kwaushauli na msaada chukua namba kwenye profile yangu hapo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kinachotakiwa ni utilie Imani zaidi juu ya jambo unaloitaji kukuombaHello Jf.
Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Hata ukifunga mpaka ufe hakuna mafanikio ya haraka! Uwezi ukapanda mbegu ya mwembe akaota na kukua na kuzaa matunda leo! Labda nenda kwa Mwamposa nadhani mnafanana akiliHello Jf.
Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Kitu cha Kwanza unatakiwa uwe msafi kimwiliHello Jf.
Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Maombi bila sadaka ni kazi bure na ubatili mtupuSamehe waliokukosea,tubu dhambi zako,funga siku zisizopungua 7,huku ukiwa na maombi mazito kati ya saa 7 mpk saa 9 usiku...
Sadaka usisahauSamehe waliokukosea,tubu dhambi zako,funga siku zisizopungua 7,huku ukiwa na maombi mazito kati ya saa 7 mpk saa 9 usiku...
Oukay 🤔Sadaka usisahau
Sasa hivi kuna shida kuna kundi la waombaji hao hatari wakiwemo hadi wachungaji lakini hata wakiambiwa watoe fungu la kumi waumininwagumu na wachungaji wagumu kupeleke fungu la kumi au sadaka stahiki makao makuu ya dini zao
Sadaka zote mchungaji anapokea hapeleki sadaka au fungu la kumi makao makuu yeye kama mchungaji fungu la kumi la kwake na la sadaka za kanisa
Tatizo la umaskini wa waumini na wachungaji makanisani mojawapo kubwa sio kuwa sio waombaji ni waombaji sana ila utoaji sadaka wako sifuri wawe wachungaji au mapadre wa katoliki
Chao wapatacho hawatoi sadaka hawatafuti pa kutoa sadaka hata kama kadini ni ka kwao na familia
Kwaiyo ukisali bila kutoa sadaka sawa na unatwanga maji kwenye kinu ukitegemea yanogeMaombi bila sadaka ni kazi bure na ubatili mtupu
Sala na sadaka zinatikiwa zote ziende kwa Mungu kwa mpigo
Matendo 10:3-4 kornelio aliambiwa sala zako na sadaka zimefika kwa Mungu sio sala pekee
Kuwa na waombaji sana wasiokuwa watoaji sadaka huwa vigumu wao kutoboa kimaisha na baadaye wengine huacha imani kuwa mbona wanaomba sana hawapati majibu
Ubahili wa kutoa sadaka kwa moyo wa ukunjufu sio kwa kulazimishwa huwa ndio sababu
Mtu akifikia level ya kutoa sadaka nyingi kwa moyo wa ukunjufu bila kulazimishwa maana Mungu humpenda atoaye kwa hiari na moyo wa ukunjufu lazima afanikiwe na akiomba hata dakika mbili tu anapata majibu hahitaji mfungo wa siku arobaini au hamsini kavu