Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Mmhh!Habari wanajf,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile .
Na huku nikiamini nipo sahihi
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie ....
Wa wastani futi 3.8Wewe ni mrefu au mfupi? Tuanzie hapo kwanza.
Unabisha nini sasa?Mmhh!
Futi 3.8 sio wastani we ni dwarfWa wastani futi 3.8
Sina vinyongo na mtu kwanza moyo wangu mdogo sana kuifadhi chuki.Kujijua tatizo wewe binafsi ni hatua kubwa ya kuelekea kubadilika, hongera sana kuwa na misimamo sio vibaya tatizo ni km unaapa au kuweka vinyongo kwa wabishani wako hiyo ndo uache
Kabisa MangiMwanzo wa tiba ni kulitambua tatizo na kulikubali
Kinyongo ni sifa ya watu wenye tabia km zako sasaSina vinyongo na mtu kwanza moyo wangu mdogo sana kuifadhi chuki.
Futi 3.8 =45.6 inches =0.000719697 milesFuti 3.8 sio wastani we ni dwarf
Umeanza ubishi wako?Futi 3.8 =45.6 inches =0.000719697 miles
That is not dwarfism
Ongezea haswa haswa wanawakepia kupendwa na wengi.