Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Kujijua tatizo wewe binafsi ni hatua kubwa ya kuelekea kubadilika, hongera sana kuwa na misimamo sio vibaya tatizo ni km unaapa au kuweka vinyongo kwa wabishani wako hiyo ndo uache
mnamjibu mmesoma jina lake kwanza...😂
 
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Badill jina mkuu☺️✌️

Wewe ni muha??

Waha 10=mrundi mmoja kwa ubishi.

Wabishi mpaka autro 😂😂😂😂
 
Mzee kwahiyo nifanyaje sasa
cha muhimu na cha msingi kwanza uwe na kiasi,kuridhika,kukubali na wakati mwingine kukaa kimya! si kila kitu lazima uongee, uelezee,au ufafanue uwe na kiasi! over. hiyo dwarfism niliyoizungumzia ni changamsha genge tu!
 
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Aisee usijishushe hadhi, utaniacha na nani kama unataka kuacha ubishi, nahitaji msaidizi kwenye hili gemu la ubishi, ukitoka tutapungua na kama ujuavyo kuwa umoja ni nguvu. I need you to continue arguing, usiache utajishusha hadhi.
 
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Acha kuongea hovyo
 
Back
Top Bottom