Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Ungekuwa mbishi ungekuwa na pesa na maisha mazuri... Wewe kinachokusumbua ni stress za mai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kata ulimiHabari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
njia ya kwanza ni kuheshimu mawazo ya wenzio na kijibu hoja zako kwa upole na kwa heshima lengo kuu ni Ku WIN people(kuto mkwaza mtu) sio ku win the urgument.
Asilimia kubwa ya watu wabishi pia huwa ni wenye majivuno ,dharau,kiburi na hujiona kuwa wao ni watu wa muhimu na bora kuliko wenzao.Ni aina ya personality disorder.Pia kama unajiamini sio mbaya kukubali kutokubalina na kila mtu akabaki na msimamo wake na kile anachokiamini hata kama mnatofautiana pasipo kubishana .Na kukubalibkushindwa ndio ushindani.Asiyekubalibkushindwa na kutaka kuwa sahihi muda wote na kuumia anaposhindwa anapokosolewa.Ni tatizo la afya ya akili au tabia.NPD Narcissistic personality disorder .NI UGONJWA SIO SIFA .Unatakiwa uwe humble na utu na utulivu .sio ubishi.ukishinda ubishi mnapobishana unafaidika na nini?zaidi ya SIFA sasa kupenda kusifiwa na utukufu ni majivuno yani ni ugonjwa .pole sana .
How old are you!? Ukiwa age go utaacha mwenyewe!Habari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
sahihi kabisa,Uwe unasikiliza ili kuelewa, usisikilize ili kujibu .
Weeeeh!Kabisa Mangi
DWARFISM inamsumbuaFuti 3.8 sio wastani we ni dwarf
njia ya kwanza ni kuheshimu mawazo ya wenzio na kijibu hoja zako kwa upole na kwa heshima lengo kuu ni Ku WIN people(kuto mkwaza mtu) sio ku win the urgument.
Asilimia kubwa ya watu wabishi pia huwa ni wenye majivuno ,dharau,kiburi na hujiona kuwa wao ni watu wa muhimu na bora kuliko wenzao.Ni aina ya personality disorder.Pia kama unajiamini sio mbaya kukubali kutokubalina na kila mtu akabaki na msimamo wake na kile anachokiamini hata kama mnatofautiana pasipo kubishana .Na kukubalibkushindwa ndio ushindani.Asiyekubalibkushindwa na kutaka kuwa sahihi muda wote na kuumia anaposhindwa anapokosolewa.Ni tatizo la afya ya akili au tabia.NPD Narcissistic personality disorder .NI UGONJWA SIO SIFA .Unatakiwa uwe humble na utu na utulivu .sio ubishi.ukishinda ubishi mnapobishana unafaidika na nini?zaidi ya SIFA sasa kupenda kusifiwa na utukufu ni majivuno yani ni ugonjwa .pole sana .
ambazo ni sawa na 115 centmetres?Futi 3.8 sio wastani we ni dwarf
Kama ni kweli mtu mzima ana urefu huu 115cm? i doubt??ambazo ni sawa na 115 centmetres?
Tatizo wewe ni mbishi🤣🤣🤣🤣kama ufupi unaazia hapo duniani wengi ni wafupi ishitoshe bado nakuua
Bado unaniua?🤨😔🤣🤣kama ufupi unaazia hapo duniani wengi ni wafupi ishitoshe bado nakuua