Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
 
Habari wanajf,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile .
Na huku nikiamini nipo sahihi

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie ....
Mmhh!
 
Back
Top Bottom