Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
-
- #21
Sijui kama nina kinyongo na mtu maana maadui zangu wengi tulishatekana.Kinyongo ni sifa ya watu wenye tabia km zako sasa
Nipe uone kama nitabishaHata tukikupa ushauri bado utabisha tu.
🤣ngoja ni vungeUmeanza ubishi wako?
Acha kunifokeaMi nakushauri kama unaishi Kigoma Kaskazini au kusini uhame🤣🤣
Jisogeze mikoa ya Pwani kisha badirisha tabia🤣
Shikilia hapo hapoUnabisha nini sasa?
Mkuu malizia unachotaka kusemaOngezea haswa haswa wanawake
Sasa km unataka kupigwa kulebu badirisha hio tabia utawaelewa vizuri
Mkuu ufupi kwangu labda wa shidaWatu wafupi ndio mlivyo
Atabisha kwamba yeye si mbishiMwanzo wa tiba ni kulitambua tatizo na kulikubali
Kua msikilizaji mzuri kuliko muongeaji.Nipe uone kama nitabisha
Acha kusoma soma kila nyuzi jf.Habari wanajf,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Umeshindikana...Acha kunifokea
Wewe ni dwarf mzee, na hilo unabisha..Futi 3.8 =45.6 inches =0.000719697 miles
That is not dwarfism
Muha katika ubora wakoHabari wanajf,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Kumbe ndo maanaWa wastani futi 3.8
Atakubishia,Futi 3.8 sio wastani we ni dwarf
Tukikupa ushauri utatubishia, shida inaanzia hapo labda uanzie kwa daktari.Sijui kama nina kinyongo na mtu maana maadui zangu wengi tulishatekana.