Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?



Kuna mambo mengine tujaribu kufikirisha bongo..hahahaha...yaan ni kituko!
 
Safi sana mkuu... hii kwa kila mtungi unaramba shingapi? Kg 15 na kg6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa tupo jf. Ni kupeana realities kuhusu biashara, wengi wetu tunakosa uharisia tukizungumzia biashara, tunajua unafanikiwa kwa mara moja bila kuangalia mambo mbali mbali ambayo ndiyo yatakufikisha kwenye mafanikio mfano biashara kwenye hatua za mwanzo lazima kwanza uwekeze pesa na mda wako ili upate uzoefu namna ya kuendesha biashara hiyo, vile vile unatakiwa utengeneze jina (utengeneze wateja)
1. Mtaji 1m
2. Uanzishe biashara umuweke mtu hakutengenezee hiyo faida
3. Biashara yako huijui.
4. Hujawekeza mda
5.Ndani ya miezi mitatu au sita unaanza ku assess biashara kama ina faida au haina.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Three years in business, changamoto ni nyingi kweli, ukipata solution ya changamoto moja, changamoto mpya inajitokeza, uki solve inakuja nyingine to deal with customers is not easy like we think, kumtenganisha mtu na pesa yake sio kazi nyepesi Sana, ila biashara ni nzuri we nimuajiri, we ni muajiriwa. Self control.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua tunguri 3
Kaniki
Shuka nyeupe vs nyekundu
Nunua JINI (mwalimu & maimuna)
nunua ungo

Pesa ya mafunzo kdg. (Kozi)

ANZA KUJIFUNZA UGANGA. unalipa kishenzi

Sent using Jamii Forums mobile app


πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚spare my ribs jamanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Saa hizi za maana ni 300 kwenda juu
Za 200 ni machozi tupu!
Kuna jamaa wanaship moja kwa moja waarab natamani niwajaribu kama hawana ronya nizame nao
hata hyo ya 300 ni ronya..labda iwe ya wadada ila km watoto ni RONYA..chek nao..
 
1,500 kwa 3,000 issue kubwa hapo ukitaka kuona hela lazima uwekeze kwenye stock. Midogo 100 - 150 na kubwa 50. Ndogo kwa wiki unaweza kutoa minimum 600 - 1000 na kubwa 200. Inategemea ulipo.
Okay okay so inshu kubwa ni kutafuta tender kutoka kwa wauza gas na maduka then unakula mkataba na kampuni za gesi si ndio hivyo master?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ikifika tarehe 24 hadi 30 uka e watumiahi utapata hizo hela good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…