Kwa hiyo hapo kwa kukazia mtungi 1 mdogo wataniuzia shingapi na mimi niuze shingapi...?1,500 kwa 3,000 issue kubwa hapo ukitaka kuona hela lazima uwekeze kwenye stock. Midogo 100 - 150 na kubwa 50. Ndogo kwa wiki unaweza kutoa minimum 600 - 1000 na kubwa 200. Inategemea ulipo.
nafanyia mazoeaachana nayo kbs aisee
hilo neno afadhali wale kuku wetu na bata najua watauzika na mbolea tutaweka bustaniIla biashara ya nguo saa hizi siyo ya kuitegemea..
Kwa hiyo hapo kwa kukazia mtungi 1 mdogo wataniuzia shingapi na mimi niuze shingapi...?
Na kwa mitungi mikubwa hali kadhalika kifupi bei ya manunuzi na mauzo per each and its return..
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay okay so inshu kubwa ni kutafuta tender kutoka kwa wauza gas na maduka then unakula mkataba na kampuni za gesi si ndio hivyo master?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekusoma na nimekuelewa kabisa ngoja nianze kufanya maanadalizi nataka nikodi gari nifanye hiyo kazi... iko safi sana na inaelewekaKwanza lazima uwekeze kwenye mitungi. Mtungi mdogo mtupu wa 6kg bei ni 23,000 na mkubwa mtupu wa 15kg 42,000.ukisha nunua mitungi utakuwa unalipia gas: ndogo 6kg 15,800 na 15kg 38,000 utakuwa unauza kwa dealers (madukani) 6kg 17,000 na 15kg 41,000
Hii ni business ambayo inaweza kujiendesha yenyewe imekaaa vizuri tu aina shida... naifanyia kazi mkuu blessedMkuu hakuna kutafuta tena. Unazungukia tu kwenye maduka na ukizoeleka wateja watakuwa wanakupigia simu kupa oda. Gari zipo zinazunguka lakini kuna factors amnazo zina sababisha wateja wasipate huduma kwa wakati na Mara kwa Mara kukosa. Na mteja wa dukani akikosa gas anakosa mteja. Gari zinaonekana nyingi lakini hazitoshi
Sio kweli. Kwa JPM hakuna magendo. Ukifanya lazima utakuwa unaishi kama dik dik. Lakini ukitaka kuishi kwa amani wewe nyooka tu.Mkuu kiuhalisia haiwezekani labda ufanye biashara za magendo
mpuuzi mpuuzi tu
vipi kuhusu biashara ya simu? hapa siongelei kufungua duka, naongelea kutangaza bidhaa kwa njia ya mitandao,
Sio rahisi kama unavyosema,halafu lazima uwe na mtaji mkubwa nilishawahi kufugaKama una eneo kubwa, fuga hata kuku wa kienyeji, ukiwa na usimamizi mzuri laki 2 unapiga ndani ya wiki kirahisi
iz not for everyone mtuachie forex, yetu we ar working ass off harder than you thinkMkuu Usije ukashawishika Kubeti au Kutrade Forex Kaa mbali kabisa na Hizo Mambo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Endelea ku download ma dollars tu.iz not for everyone mtuachie forex, yetu we ar working ass off harder than you think
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenyewe ndo chanzo cha Mimi kufilisika.Trade forex, biashara yenye utajili mkubwa duniani hata benk hawataki uijue.
By ONTARIO