Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
nafanyia mazoea
Nataka nizame shamba japo shamba halinitaki...
Halafu hivi yale matunda bado yapo?
Dadangu nisaidie maelezo kuhusu biashara hii hasa yalipo machimbo ya hizo bidhaa. Nimevutiwa.Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla
Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..
Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.
Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..
Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000
Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.
Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha
Mfan biashara gani mkuu.!!Mkuu zipo biashara ya hivyo ila ni lazima uisimamie mwenyewe masaa kumi kila siku ndio utatoboa tofauti na hapo andika maumivu
HYO FAIDA INAWEZEKANA YA LAKI MBILI KWA WIKI INATEGEMEA NA AINA YA BIASHARA NA UNAIFANYIA WAPI NA WAKATI GANI NA MTAJI WA HYO HYO MILION MOJA SEMA WENGI WETU TUNA FIKIRI KATIKA WIGO MMOJA TU NA MARA NYING SANA TUNAKUWA NA MAWAZO HASI NA MAWAZO YA KUFELI MUDA WOTE
NA KILA BIASHARA INA FAIDA NA HASARA ZAKE NI JAMBO LA MSINGI KUJUA HILO
Mtoa mada amesema hata kama itachukua muda.Hayo mnayoyasema ni kweli lakini sio kwa muda mfupi tukirejea mtoa mada alivyojipambanua mwanzo.
Unanunua nchi gani hizo handbag?process nzima inakuaje tusaidie best.Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla
Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..
Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.
Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..
Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000
Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.
Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimeusoma huu uzil mwanzo adi mwisho, kila mtu anashauri abet
Tuweni nahuruma jamani wengine tulikua warahibu wamambo yakubet tumefanikiwa kuacha ila kila nnavoona hio habar ya kubet nashikwa napepo najikaza mno, hio habar inashawishi zaid ya vdeo za porno zinavoshawishi ngono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu food food food,sisemi kama stori I was there na nimeona hiyo faida
Umemanisha duka la nafaka au mgahawa mkuu?Mkuu food food food,sisemi kama stori I was there na nimeona hiyo faida
Mkuu na mimi naomba nielekeze hizo chimboNunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla
Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..
Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.
Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..
Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000
Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.
Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia restaurant mkuu kwasababu ndio niliyofanya, nafaka nasikia kwa watu kwamba inalipa
Afu ww bhn mwnzko anata mtaji uczid 1mil. We unampa mahesabu ya zaid ya 1mil.uon km unamvuruga?Nunua Pikipiki mkuu Ifanye kuwa Boda boda kwa siku kipande Elfu 10 kwa wiki Elfu 70 mkuu Ukiwa nazo hata 2 sio mbaya Boda boda inalipa
Sent from my iPhone using JamiiForums