Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
ishu ni nidhamu ya pesa hakuna kingine..ukiwa smart na discpiline utatokaTafuta sehemu yenye watu wengi , weka genge na chips pembeni , tafuta mtu mwaminifu asimamie . Kama una nidhamu ya pesa utatoka . Hujasikia mtu aliyetoka kwa biashara ya genge ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Bestishu ni nidhamu ya pesa hakuna kingine..ukiwa smart na discpiline utatoka
nipo best mambo
Pouwa mummy hope your doing well toonipo best mambo
😊😊😊am pretty fine..usikae kimya hvyo basi😊
Noted...[emoji4][emoji4][emoji4]am pretty fine..usikae kimya hvyo basi[emoji4]
Usimpe mtu bali simamia mwenyeweTafuta sehemu yenye watu wengi , weka genge na chips pembeni , tafuta mtu mwaminifu asimamie . Kama una nidhamu ya pesa utatoka . Hujasikia mtu aliyetoka kwa biashara ya genge ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi mkuu? Unaongelea kutoa uganda, au?Nunua handbags za kike, classic ,inakaa pc tatu au nne, znakuwa tofaut kabsa na zile zinazouzwa kkoo... Unanunua kwa 17,000 usafir 3500 kila handabag, jumla 20500...
Ww uza 28,000 jumla
Maana huku jumla wanauzaga 35 rejareja 40 hadi elfu 60..
Ukipost mitandaon utapata wateja kutoka mikoa weng na hapa dar kwa ajili iyo bei ndogo.
Kuuza handbags 20 kwa siku n kitu cha kawaida kabsa..
Au unawauzia wenye maduka unachukua order
Unapofata mzigo wa handbags unachanganya na vichwa vya kuuzia mawigi vinauzwa 1700 usafiri wa kila kochwa 2000 jumla 3700 kikifika Tanzania huwa vinauzwa 15,000 hadi 20,000
Pia changanya na midoli ya kuuzia nguo,
Inauzwa 17,000 usafiri 17,000 jumka 34,000 hapa tanzania inauzwa elfu 80 hadi 150,000.
Ningekuwa na capital mimi ningekuwa tajiri tayar daaa maana machimbo ya hivi vitu nayajua vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweliBodaboda unaweza ishia kutunza familia ya boda driver, halaf boda ni 2 milioni.
Naam ukweliMkuu zipo biashara ya hivyo ila ni lazima uisimamie mwenyewe masaa kumi kila siku ndio utatoboa tofauti na hapo andika maumivu
hahahahahah....eti swiiiiiiiHawa jamaa kidogo waniingize mkenge eti waniuzie mzigo wa laki 6 swiiiiiiii,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafuatilia huu mjadala bega kwa bega " ijapokuwa ulinipitaKijana acha tamaa.
Anza kidogo kidogo,
kuwaza vikubwa wakati hata vidogo huviwezi ni hatari na UTAPOTEA.
Kwa kijana mpya asokua na uzoefu wa biashara.
Kwa huo mtaji wa million Moja,
Faida yake inastahili kua elfu 20-30 kwa wiki.
NB: Hiyo faida (Mapato-Matumizi) ya laki 2 kwa mtaji wa million Moja ni Ndoto.
Vinginevyo unaongelea MAPATO ya laki 2 kwa wiki.
Kiuhalisia,
Kama unataka Faida ya Laki 2 kwa wiki,
Itakubidi uwe na MAUZO yasopungua Millioni 2 kwa wiki.
Sasa,
MAUZO ya million 2 wakati Mtaji wako ni Millioni 1 ni KICHEKESHO CHA MWAKA itakua.
Sent using Jamii Forums mobile app