Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Dadeki ... hii biashara anaifanya mkoa gani mkuu !? Tukimbilie huko !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengine tujaribu kufikirisha bongo..hahahaha...yaan ni kituko!
Hapana mkuu inawezekana... tatizo sehemu kubwa ya jamii yetu inatatizwa na uhaba wa taarifa chanya za biashara '"

Juzi kati nilimpigia rafiki yangu mmoja hivi anayeishi tanga " nikawa na muuliza fursa zinazo patikana huko " akanipa mchongo wa kupeleka Pili pili mtama Zanzibar " Aliniambia kwamba pale kijijini kwao pili pili mtama kwa kg1, moja wanauza 2500 gharama za usafiri kwa kila kg1ni 500 so jumla 3000 .. ukifika sokoni Zanzibar unauza pili pili mtama kwa kila kg1 kwa tsh:3000,... ukipeleka mzigo wa laki 3, unauhakika wa kupata faida laki 3, nyingine kama mapato " ukitoa toa gharama za chakula na malazi unaweza jikuta unabaki na laki 2,as faida ....

Haya mambo yapo msiwe mnabisha ... tatizo ambalo litam-cost mtoa mada ni kwakuwa hana muda wa kuisimamia hiyo biashara so kwa upande wake ni ngumu kuweza kuipata hiyo faida .. kwa sababu biashara yenye mtaji mdogo kama hii inahitaji kwanza wewe mwenyewe ujitoe " mpaka pale ambapo itakapo kuwa imesimama haswaa ndio umpe majukumu mtu mwingine aweze kuisimamia na uaminifu wake uwe ni wakiwango cha 98%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utakuwa mwanzo wake wa ku-fail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said indeed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😁😁😁...wengi hawajaingia kbs kwenye biashara aisee kuongea ni rahisi sana sana !hahaha!anywys
 
Hii china au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16]...wengi hawajaingia kbs kwenye biashara aisee kuongea ni rahisi sana sana !hahaha!anywys
Yeah kuongea ni rahisi ' lakini hatupaswi kuishia tu kusema kuwa haiwezekani " ilhali kuna walioweza na bado wanaweza Tunapaswa kujifunza toka kwao tunapaswa kujifunza njia baadhi ambazo ziliwasaidia wao kufika huko kabla hatujaingiza pesa kwenye hiyo miradi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Pointyangu ni 1!uwekeze 1m alafu return upate laki8 kwa mwezi😁😁😁...means200000@week!kha!...sijui hesabu labda
 


Alafu ishu yako ya manga huenda hesabu hujaziweka poa...!sikatishi tamaa...nayajua hayo mazao huwez sema unaenda tu na kichukua pilpil.manga..must uhustle kuzipata..utembelee vijiji na watu weng..hukawii kukaa 2 wks kule..!muwe mnapiga hesabu na time consume jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…