Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Aliyeelewa naomba msaada coz nimetoka empty....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila siku unatafuta odds2 tu usitake nyingi unaweka dau la 200k Tsh's , kwa wewe ukifungua account mpya kwa 1st deposit bonus ni 50%-100% inategemea na kampuni utakayo jisajili ,kwa hiyo hapo unaamua utaweka vipi kama ukiweka 200k pasipo kuunga na bonus ukipuna faida ni 200k,(400K) .na kama utaunga pamoja na bonus ambayo ni 100k/200k ukiweka dau lote limasoma 300k-400k ,kwa hiyo hapo ukipuna ni kuanzia 600k-800k ,faida ni 300k-400k ,kwa siku moja au masaa kadhaa tu na kama live bet ni dakika kadhaa tu, na possibility ya kupuna kwa odds 2 hadi 1.5 ni 80% , karibu tumfirisi muhindi mzazi
 
Kweli we fundi kubomoa mi nishajaribu hivo nkahama mjini ni noma.
 

Wakuu hii hesabu hapa imekaaje.?????
 
Unatoa China?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio Rahisi kihvyo! Odd 2 hizo hizo zinachana mchana kweupeee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…