Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Mama kifusi.....sio kifurushi[emoji38]
Those days!
 
Lazima uibe na kipindi hiki utafungwa !!!! Tamaa mbele mauti ..,,
 
Naombeni ushauri hapa kwangu Nina kaeneo hivi 20 kwa 20 hii biashara ya green house nikiweka kanyumba walau kamoja nikalima nyanya au hoho vizuri siwez pata kalaki 2 kwawiki wajameni maana nyanya na hoho mtaani nishida.
Wenye green house wanishauri hapa natafuta biashara bila mikwaju ya TRA nk.
 
Hey dear hilo chimbo lipo wapi? Au kuna website unaijua?
 
Hey dear hilo chimbo lipo wapi? Au kuna website unaijua?
 
Mrejesho mkuu leta tujifunze zaidi. Mtaani kugumu😀
 
Ni Bora labda ukanunua Boda used let say kwa 1.3m then unamkabidhi mtu kwa mkataba wa8 mths..hapa itakuletea 2 .4!
kibongo bongo kama unataka kununua boda hakikisha ina miez mi3 or less tangu inunuliwe....vinginevyo tenga kabisa pesa za matengenezo.....tena ukijichanganya ukanunua hz boxer za Mo au hz domo la mamba ndo imesisha hyoo
 
Namskia *haouajue* ndo brand Bora kwa sasa..sijui spelling zake poa...!
 
haojue labda mkoan lakini sio dar hakuna abiria atapanda haojue yako aache tvs/boxer

Dar na dodoma maeneo ya town boxer na tvs inatamba saba

Mzee nilikutana na haojue hii hapa Mwanza ata Boxer inasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…