Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Mkuu tatizo unafikili naandika chai!! Daruso bar ndani ya siku 3 kuanzia ijumaa - mpaka jumapili walikuwa wanafunga hesabu ya million 28, naandika kitu ninachokijua, sifurahishi genge mkuu
 
Mkuu tatizo unafikili naandika chai!! Daruso bar ndani ya siku 3 kuanzia ijumaa - mpaka jumapili walikuwa wanafunga hesabu ya million 28, naandika kitu ninachokijua, sifurahishi genge mkuu
MIMI SIJAPINGANA NA WEWE MKUU,

ILA NAZIDI KUTOA WITO KWA WATANZANIA WENZANGU TUHAMIE DARUSO BAR,
UKIACHILIA HIZO MILIONI 28 KWA SIKU 3,

SISI ANGALAU TUPATE LAKI 5 TU KWA WIKI,
TUTAJIKWAMUA SANA KIUCHUMI.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Hawa jamaa walipigwa fitna, eneo lao la biashara lilifungwa!!! Wakafunguliana kesi, walienda mpk mahakamani shtakiana kati ya chuo na mwekazi, kwaiyo sifaham kilichoendelea mpk kama walishinda ama la
 
Inawezekana mkuu...me nami nimeshuhudia kwa biashar ya msos
 
Mwalimu nasubiria Hio fursa tarehe 1.3.2019
 
Inawezekana mkuu...me nami nimeshuhudia kwa biashar ya msos
na kipindi hiki cha jiwe nahisi ndio biashara mtu anayeweza fanya ikamnyanyua pia, kama location ataipata nzuri. Hii hauna experience nayo mkuu
 
duuh nimekichukua kitabu kin motivate zaid
 
Hayo mnayoyasema ni kweli lakini sio kwa muda mfupi tukirejea mtoa mada alivyojipambanua mwanzo.
ni kweli mkuu tunahitaji muda kwenye kila kitu lakini la muhimu zaidi ni kufikia target amabayo ameiweka . kama ameweka lengo apate kiasi fulani faida basi aweze kuvuka lile lengo.
 
Hawa jamaa walipigwa fitna, eneo lao la biashara lilifungwa!!! Wakafunguliana kesi, walienda mpk mahakamani shtakiana kati ya chuo na mwekazi, kwaiyo sifaham kilichoendelea mpk kama walishinda ama la

Sababu ilikua nini, ama walikua wanachafua mazingira hawasafishi maganda ya viazi aaubuhi??
Kwahiyo pale amekuja mpika chipsi mwingine, ama Daruso bar ilishafungwa kabisa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…