Nifanye Nini Ili nizae watoto wazuri ?

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini Kwa muonekano wangu nimekuwa nikikutania na bulling sana juu ya sura yangu sitamani na atakaezaliwa apitie hayo..je ni Mungu anahusika Ili nifanye Dua? Nijuzeni please
 
Wewe mwenyewe mzuri?
 
Kwani mkuu wewe sura yako ikoje? Hebu weka ka picha tukuone ulivyo polygon? Huyo mke naye alikukubalije? 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…