Ni 23 yrs natarajia kuanza kutafuta mtoto lkn nimekuwa Kuna hisia zinanifanya nipate wasiwasi juu ya kiumbe nitakaemleta duniani..swali je can the ugly parents have beautiful babies?..sikuamini Kwa muonekano wangu nimekuwa nikikutania na bulling sana juu ya sura yangu sitamani na atakaezaliwa apitie hayo..je ni Mungu anahusika Ili nifanye Dua? Nijuzeni please