Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

Ha ha ha sura Ina shida gani sasa, hapo tatizo ni pesa huna na kwa ujinga huu unaowaza unamkosea MUNGU wako, Kila mwanadamu ameumbwa kwa mfano wake ndivyo tulivyofundishwa kanisani sisi Tangu tukiwa watoto na sisi tumeyashika mandiko yake
 
Kama wewe ni she basi usisite kupita PM nina mbengu nzuri sana uzuri wa mtoto unatoka kwenye DNA za Baba alie bora
GUCG3-yWgAAk0yv.jpeg
 
Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
Unaposema watoto wazuri, unamaanisha nini? Ridhika na hali yako ndugu. Hiyo tamaa yako ya kuwatamani watoto wa wenzako, itakuja siku moja ikuletee majaribu ambayo hukuwahi kuyafikiria.

Kumbuka tu Mwenyezi Mungu hajaribiwi.
 
Back
Top Bottom