Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
šstandard za uglyness mnazitoaga wapi?Watu wenye sura ugly hawajawahi zaa watoto uglier hata siku moja...wanatoka wazuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
šstandard za uglyness mnazitoaga wapi?Watu wenye sura ugly hawajawahi zaa watoto uglier hata siku moja...wanatoka wazuri tu
wewe ni mzuri?Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
23Umri wako please.,...,
bullyingSwali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
DahhhTafuta hela tu hakuna nwanaume mbaya,ukiwa na hela utapata pisi kali hence beautiful kids,Aziz Ki bila hela angetaniwa sana,Diamond kapata hela tu na mdomo umepotea.
Hela,hela,hela
Taja umri wako na jinsi yako upate msaada wa changamoto inayokukabili.Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
Aseee Mungu hataniwi,unaweza ukapata hao wazuri kwa namna unavyowataka ila ukapata pigo lolote.Unaposema watoto wazuri, unamaanisha nini? Ridhika na hali yako ndugu. Hiyo tamaa yako ya kuwatamani watoto wa wenzako, itakuja siku moja ikuletee majaribu ambayo hukuwahi kuyafikiria.
Kumbuka tu Mwenyezi Mungu hajaribiwi.
23 yrs ..keTaja umri wako na jinsi yako upate msaada wa changamoto inayokukabili.