Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

Nifanye nini ili nizae watoto wazuri?

Uzuri ni moyo wako tu wa wema na tabia njema
Inawezekana ukawa na mmoja kafanana na wewe kwa sura ila wengine wakafuata kina bibi au hata upande mwingine
Kila la kheri ila usiogope kuzaa
 
Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
Hautofanya la ziada kama huna hela. Endapo una hela unarekebisha zile features wanazozaliwa nazo mapema tangu wadogo. Kama una meno yamejitokeza nje unawarekebisha, kama una matege ya kurithi unawapeleka kwa wataalamu wa mifupa, kama una masikio makubwa wakizaliwa nayo wanafanyiwa otoplasty. Kama ni head shape Wapemba wanajua na kuna makabila mengine wanajua kuelekeza shape ya kichwa.

Haitaondoa ile asili kwenye genes ila itamuepusha na bullying na kutojiamini hasa akiwa mdogo.

Suala lingine ni selection ya mwenza mwenye dominant genes. Umeona kuna familia baba mweusi na mama mweupe ila watoto wote watano weusi na wamemfanana baba, na familia nyingine mama mweusi kibonge na baba mweupe mwembamba na watoto wote ni vibonge wanene, na nyingine mama mweupe ana komwe na mwanya baba mweusi ana nywele nyingi watoto wanakuwa weupe, wana nywele nyingi, wa kike hawana makomwe ila wana mwanya. Hiyo yote ni nani anadominate genes. Mlolongo mrefu huu.

Mambo mengine ni kula mlo kamili wakati wa ujauzito ili kuepuka matege ya kukosa madini chuma au kuwa wadhaifu. Automatically huoni mtoto anayezaliwa wakati hela zipo kwenye familia anakuwa tofauti na aliyezaliwa kwenye shida. Wanafanana ila you can tell that huyu product ya shida huyu product ya mboga saba.
 
Tafuta hela tu hakuna nwanaume mvaya,ukiwa na hela utapata pisi kali hence beautiful kids,Aziz Ki bila hela angetaniwa sana,Diamond kapata hela tu na mdomo umepotea.
Hela,hela,hela
Aaahaaa
 
Kama wewe Ni ME tafuta mwanamke chotara mwenye sura nzuri, hapa probability ya kupata watoto wazuri Ni 50%
 
Watu wenye sura ugly hawajawahi zaa watoto uglier hata siku moja...wanatoka wazuri tu
Mfano mzuri ni mh WASIRA, ana watoto wazuri sana wa kike, nadhani njia sahihi kwa mtu alie ugly ni kujitahidi kuwa na mwenza mwenye mwonekano wa kuvutia macho, hii inasaidia sana kupata aina ya watoto ambao mleta mada anatamani kuwa nao
 
Swali can an ugly parents have beautiful babies? Nipeni Siri nimepitia bulling sana kuhusu muonekano wangu so naogopa usije wakuta watoto wangu.
Mimi nimekula wanawake kibao tena wengine bila hata kujua imoo,duuu,nikihesabu najenga Kijiji changu, accept who you are hii dunia Iko radical nimekuja kushikwa maskiona na hopeless mmoja wala sijui ilikuwaje,kwahiyo tulia jikubali.Utamtaka mtu handsome kumbe mwanga.
 
Back
Top Bottom