Nifanye nini?, mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu

Sasa mimi nitaonekanaje kwenye familia yangu na yao nitaonekana mtu nisiefaa kabisa kwa maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya mambo


Imeisha hiyi sio akili yako ushasema toeni acha ujinga
 
acha woga mimba ilelewe kijana apatinake
yaan mfanye mauaji kwa kuogopa wanadamu acheni mimba iyo, jiandaeni kwa aibu maana mmetaka wenyewe
 
Sometimes huwa najiuliza,kwa nini Tanganyika ilidai uhuru wakti bado hatuhitaji kuwa huru?
 
Uzuri hapo mwisho umemalizia kuandika vizuri. Unasema ulichofanya hàkuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya. Sasa kwa vile wewe huna akili timamu usijali hàkuna mtu mwenye akili timamu akifanya kosa akatiwa hatiani.
Wewe punguani tulia tuu huna kosa hata punguani akiua huachiwa na mahakama,
 
Kipindi unamtomba peku ulikuwa unafikilia hilo ni shimo la taka.
Sasa yamekukuta unakuja unatulilia sisi tukusaidie nini.

Pambana nalo hilo nilako.
 
Narudia kikao cha 15 cha wanaume kilikuwa na tamko hili. Mwanamke asiye mkeo au usiye na future naye ni marufuku kumla bila condom. Mwisho wa kunukuu tamko
 
maana hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufanya haya
Kwani Yakobo baba wa taifa teule la Israel hakuwa na akili timamu alipooa mwanamke na mdogo wako. Utalinywa kwa namna ya ulivyolikoroga.
 
Kwa akili zangu za kijasusi nikiwa kama 007, huyo dem hana mimba ama lah hiyo mimba sio yako.

Umedakwa mtegoni na kwa jinsi ulivyodakwa ni lazima pesa ikutoke.

Pole sana.
 
HUU UPUUZI KAMWELEZE MKEO MJADILIANE AKWAMBIEJEEEEEE

WE HATA MWANAO UNAMPIGA MIMBA HUNA MAANA SHAME N YOU
 
Mwache azae kwani kuna shida gani, kipindi mnatongozana mbona hukutuomba ushauri kama unampenda au yy anakupenda mlikaa kimya saizi mmpeana mimba ndio makelele yanaanza hapa acha azae mlee huyo mtoto kama mkeo atakuacha au atavumilia kalaga baho
 
Huyu na wasiwasi kakayake kapita na mkewe anatafuta wazo la kufanyaaa

Hahahahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…