Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

Yaaani zamani hakua hivyo alikua naakunywa kistaarabu ila sasa amekua mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile msaada nipate dawa au mawazo nijue chakufanya maana ndoa imekua ngumu


Pole sana, huyo mpeleke Sober house (reparation center).
 
Mpe love, mpe romance, mpe sex, msetie high standards km anakupenda atakuPlease. Vinginevyo sepa
 
Na akiiacha pombe anaanza umalaya.

Kila kitu kina alternative. Jua ulevi wa kupitiliza wa pombe ni mbadala wa kwenda kutafuta wanawake.

We ngoja aache Kama hajaanza kuleta watoto wa nje.

Cha msingi ongeza upendo. Asipooga , muogeshe, akishindwa kula mlishe na n.k.... atapunguza mwenyewe kwa aibu akiona anapendwa. Ila Kama una mdomo haachi na akiiacha jiandae kuwa mke mkubwa.
 
Mamwanaume sie wakati mwingine kerooooo.Pole dada,njoo kwangu mie msafiiii,nguvu za uhakika utapata na upendo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…