Black dope
Member
- Aug 11, 2024
- 6
- 38
Tafuta mwanamke anayekupendaJamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia ana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Endelea kuchat naye mpaka atakapochoka.Jamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia ana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Yaani mkuu hawa vijana wa siku hizi ni majanga matupu kuwaelewa wanachokiandika wanamaanisha nini hasa!Ana mood au hana mood?
Unatuchanganya na lugha yako isiyoeleweka.
Una miaka mingapi?
Sisi wanaume tunatakiwa tujue wanawake sio sehemu ya kufanya kimbilio pindi tunapoona maisha yametushinda;; Utakufa kifo kibayaa Sanaa..Jamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia ana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
HanaAna---
Hana-----
Ipi kat ya hapo?!
Jus kuwa mpole ni typing error me nilimanisha hana mood ya kuchatAna mood au hana mood?
Unatuchanganya na lugha yako isiyoeleweka.
Una miaka mingapi?
Boe tulia bas nimeuliza vizur tu Ayo mengine yametoka wapi sijui nilifika darasa4 kwely emu tulia basi kaka angu mbona unakuwa kama wakike ww kama ulikuwa unajuwa ungejib sijaona umuhimu wa wewe kusem yote Aya wanaume atupo hv broohYaani mkuu hawa vijana wa siku hizi ni majanga matupu kuwaelewa wanachokiandika wanamaanisha nini hasa!
Hebu fikiria huenda hapo aliposema "......ana mood" yeye amemaanisha 'hana mood'.
Uandishi wa kipumbavu kabisa mpaka unajiuliza huyu kafika darasa la 4 kweli?
Aaaaah bro πππ kimbia usigeuke hata nyumaJamani wana jamii,
Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia hana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
YeahTafuta mwanamke anayekupenda
Halafu ongeza value yako
Hivi vitoto sijui vinaandikaje siku hizi!! ππAna mood au hana mood?
Unatuchanganya na lugha yako isiyoeleweka.
Una miaka mingapi?