Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

Nifanye nini mwanamke akisema hana mood ya ku-chat?

Ana mood au hana mood?
Unatuchanganya na lugha yako isiyoeleweka.

Una miaka mingapi?
Yaani mkuu hawa vijana wa siku hizi ni majanga matupu kuwaelewa wanachokiandika wanamaanisha nini hasa!

Hebu fikiria huenda hapo aliposema "......ana mood" yeye amemaanisha 'hana mood'.

Uandishi wa kipumbavu kabisa mpaka unajiuliza huyu kafika darasa la 4 kweli?
 
Kama umemaanisha ana mudi basi cha kufanya ni kumchatisha tu na kama umemaanisha hana mudi basi cha kufanya ni kumuacha kuchat nae. Sasa kama hajisikii kuchat na wewe unauliza dawa yake kweli?

We akisema hivyo unamuacha tu saa akitaka kukuomba hela atakuchatisha tu
 
Jamani wana jamii,

Mimi nilikuwa na kaswali. Mwanamke akikuambia ana mood ya ku-chat na wewe unatakiwa umuache kwanza au?
Sisi wanaume tunatakiwa tujue wanawake sio sehemu ya kufanya kimbilio pindi tunapoona maisha yametushinda;; Utakufa kifo kibayaa Sanaa..

Hawa wanawake hawawezi kumpenda mwanaume Bure Bure tuuuu....
 
Yaani mkuu hawa vijana wa siku hizi ni majanga matupu kuwaelewa wanachokiandika wanamaanisha nini hasa!

Hebu fikiria huenda hapo aliposema "......ana mood" yeye amemaanisha 'hana mood'.

Uandishi wa kipumbavu kabisa mpaka unajiuliza huyu kafika darasa la 4 kweli?
Boe tulia bas nimeuliza vizur tu Ayo mengine yametoka wapi sijui nilifika darasa4 kwely emu tulia basi kaka angu mbona unakuwa kama wakike ww kama ulikuwa unajuwa ungejib sijaona umuhimu wa wewe kusem yote Aya wanaume atupo hv brooh
 
Back
Top Bottom