National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Jesus is Lord 🥸🥸Wanakwambia kwa ajili ya watoto na kwamba wanaume ni wale wale wote uchepuka🤣🤣🤣
Kwa kweli kwa hizi mentality ndio maana wanaume tunawafira wake zetu🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus is Lord 🥸🥸Wanakwambia kwa ajili ya watoto na kwamba wanaume ni wale wale wote uchepuka🤣🤣🤣
Kwa kweli kwa hizi mentality ndio maana wanaume tunawafira wake zetu🤣🤣🤣🤣
Ya wanaume ni shida, we potezea kikubwa.Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Wanandoa wasingeachana .Upendo haujawai kuisha wala kupungua. Hapo kuna jini mkata kamba kamvaa mume wake
Hizi mentality ni mbaya sana. Kwza hiyo uishi na mchepukaji sugu sababu muda umeenda. Sasa huyo mpaka anaamua kuchepuka ili hali ana mume ndani? Kuna tofauti gani na kuachana na ndoa ya aina hii?Kama umri bado ni early 30s unaweza kuamsha, but think uko at mid 40 uone ilivyo issue kupata jamaa wa kukukata kiu. Utaishia kwa boda wasiojielewa na watakutangaza vijiweni kwamba hii maza ni maharage ya mbeya then heshima uliyoipambania hutoipata na huduma kwa pamoja. Hasira ya kuachana hupoa mapema na majuto ya upweke hudumu
Kuaachana haimaanishi hakuna upendo. Kinacho isha huwa ni hisia. Unapokuwa na mtu sasa ndio ujue ana hisia au ana upendoWanandoa wasingeachana .
Auchukue huu ushauri aufanyie kaziAkichepuka unaumia
Ukichepuka unaumia
Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa lengo la kumkomesha mtu halafu ukaja gundua unayemkomesha hajali kitu... Inakuwa ni kama unatwanga maji kwenye kinu, unapoteza nguvu na muda wako bure.
Cha kufanya ni kuwa mvumilivu na kuongea na mume kuhusu kuumizwa na anayofanya, haijalishi ni mara ngapi unamwambia na anarudia... Mkumbushe
Kama utaona unashindwa kuvumilia unaweza kuamua kuvunja ndoa
Pole
Yaani huyo anaeweza kuchepuka akose mtu wa kumuoa kweli?Right and available person ya nioo....
Utadhani wanaokotwa barabarani kirejareja
Muda mwingine suluhu sio kuachana bali kuboresha mtizamo
Unachosema ni kweliMkuu ni wazi kuwa huyu mwanaume Malaya mbwa..pengine hata kurudi nyumbani mapema ni kitendawili.sasa ili tusikwaruzane…ninajipenda mimi kwanza..
Kama ni mtu wa kurudi usiku mwingi,ndio kabisaaa..nitoka zangu huko naenda kuhave fani vizuri sana..narudi mapemaaa kabla hata yeye hajarudi nyumbani napata nafasi ya kumuandalia chakula mume wangu kama mke.lakini nitatengeneza mazingira ajue kuwa nilitoka na nikarudi bila kumwambia.(kama ni viatu,Sijui mkoba au nguo niliyoivaa anaviona kuwa vilitumika.ninahakikisha situmii kilevi chochote kile kwa kipindi choooote hicho nilichoamua kutafuta furaha ndani yangu)
Ikimuuuma saaaana na kuniulizia nilienda wapi!jua sindano imeanza kumuingia(umalaya wa kiwango cha huyu jamaa ni wazi kuwa hajali)so kipindi kingine naongeza dozi mara tatu zaidi ya pale😀😀akibahatika kuniuliza tena basi hakika kuna ki tu kipya kimemuingia na ameanza kujali😄.wakati mwingine tena hivyohivyo…so kama kweli kajali basi kaumia na atatafuta namna awahi kurudi nyumbani mapema kabla yangu ili ajue huwa naendaga wapi au nilikuwa wapi.akiyafanya yote hayo tayar mwanakondoo kaanza kurudi kundini 😀😀taratiiiiiibu kabisa tu naanza kuijenga familia.
Hakuna muda wa kupigana vijembe huko status bila sababu ya msingi mara ohoo utanikumbuka Sijui vikapanda vikashuka 😀😀off coz atakukumbuka 😀😀si alikuoa bhana…mkazaa na watoto,,so kukukumbuka hiyo ni obvious 😅😅.
Mwanaume mpigaji si wa kumvumilia kabisa Kwa karne hii..hakawii kukutia ulemavu napinga vikali mno.
Ila mwanaume malaya halafu anatimiza majukumu Yake Kwa familia…hapana sikuachi cha muhimu tunakubaliana tu” baba naona umekubuhu kwa umalaya sasa mimi na wewe kupiga game hapana kwakweli” unafunga ukurasa mnaelea watoto wenu safi kabisa😄😄
*************************************
Yote haya yanawezekana kama tu mwanamke anakipato chake mwenyewe.anajua kuitafuta pesa Yake mwenyewe.vinginevyo basi yatakuwa ni mateso.
Labda ufanye kwa siriMimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.
Hakuna mkamilifu
Aondoke aende wapi mzee baba?Adhabu ni hii hapa.....
Ondoka hapo nyumbani....
Hili linatosha kumuumiza na kubadilika kabisa
Kuendelea kukaa hapo nyumbani ni ukimwi na STD na PID atakuwa anajitibu kila siku.Aondoke aende wapi mzee baba?
Halafu wewe unadhani kwa akili yako huyo jamaa atapoteza muda hata kubeep simu yake kumtafuta?
Forget about it mzee!
Mlee watoto pamoja?Duuu acha hizo. Ndoa zenye migogoro huathiri sana watoto. Bora mtengane ili libaki jukumu la kulea watoto pamoja
Whats the better option?Kuendelea kukaa hapo nyumbani ni ukimwi na STD na PID atakuwa anajitibu kila siku.
Mwisho wa huo umalaya wa huyo mwanaume ni upi? Kama siyo kumpa kazi huyo dada ya kumtunza akiumwa na jukumu la kuwa mjane na kulea watoto as single mom?
Kuna tabia za kuvumilia lakini siyo umalaya wa wazi aise.