Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama alikuwa abadilike hatabadilika Hadi umuungamie kuwa ULICHEPUKA.Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Haya mwambie aondoke akapalangane na wanaume wakamilifu.amuache huyo mume malayaTena akikutana na mtu kama mie mzabzab mbona ata enjoy. Maana mie sina siasa naongea ukweli wa mambo.
Huwezi kuwapa watoto furaha wakati wewe mwenyewe huna furaha. Hilo nakataa kabisa. Pili kuna suala la magonjwa...huyo mumeo akiukwa huko unadhani atakuacha hivi hivi lazima akuambukize so hapo madhara tena kwako na watoto.
Tuwe wakweli wanawake wengi hawaondoki kwenye ndoa zao kwa sababu ya utegemezi kwa mume period.
Mie ushauri wangu kwake kama ana hela yake na anaweza kutunza wototo mwenyewe asepe tuu. Kama ni tegemezi basi atulize boli hapoHaya mwambie aondoke akapalangane na wanaume wakamilifu.amuache huyo mume malaya
Huwez kushindana nae hata sku Moja mwenzako ni tabia yake ww unaigiza usithubutu kabisa kulipa kisasi, usimfuatilie jifanye kama hujali anayoyafanya ni ngumu sana kupotezea ila jitahidi ujifanye naww huna mda nae na uko bize na mambo yako, akitaka haki yake mpe haijalishi una maumivu kiasi gani, ww mpeNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kamwe usilipe kisasi kumkomoa mumeo ,nausijaribu kumfanya ajue unachepuka , anaweza akkakuacha,,Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Aisee bongo wanawake nimeamini ni waoga kupitiliza....yaani wapo tayari waambukizwe magonjwa na waume zao kisa kutunzwa🤔🤔🤔🤔Kamwe usilipe kisasi kumkomoa mumeo ,nausijaribu kumfanya ajue unachepuka , anaweza akkakuacha,,
Mimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.Mie ushauri wangu kwake kama ana hela yake na anaweza kutunza wototo mwenyewe asepe tuu. Kama ni tegemezi basi atulize boli hapo
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumi
Usishindane na mwanaume, mwishowe utapata maumivu zaidi ya haya unayoyapata saivi, cha msingi tafuta njia sahihi ya kutatua hiyo shidaNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Sasa are we stating the obvious ama mie sijaelewa?Mimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.
Hakuna mkamilifu
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Hakuna kilichobadilika hapo.labda nimeuweka mwandiko umekuwa mrahisi kama karatasi ukauelewa.Sasa are we stating the obvious ama mie sijaelewa?
Suala ka kichepuka lipo ila sio mwanaume anachepuka mpaka kwa ndugu zako. Thats is too much.
Ebu wewe jiweke kwenye position mume wako anamgegeda labda mdogo wako wa kike au ata mama yako bado utabaki?
Huyu mungu anasinguziwa ata vitu vya ajabuHakuna kilichobadilika hapo.labda nimeuweka mwandiko umekuwa mrahisi kama karatasi ukauelewa.
Sasa unataka nimsusie nani huyo mume.mama au mdogo wangu?hapana.
Wanawake tunanguvu kubwa sana mkuu..tukisema jambo na kulisimamia linakuwa.
Kama pesa ndio inayompa kiburi..ninauwezo wa kumwambia Mungu pesa za mume wangu ni kikwazo kwenye ndoa yetu😀😀ghafla sana Mungu anamuondolea kazi/biashara inayomletea kiburi(lakini huyo mwanamke ajiandae kweli na matokeo ya maombi Yake)
Sasa yote ya nini jamani eti.siutafute furaha ndani yako tu
Akichepuka unaumia
Ukichepuka unaumia
Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa lengo la kumkomesha mtu halafu ukaja gundua unayemkomesha hajali kitu... Inakuwa ni kama unatwanga maji kwenye kinu, unapoteza nguvu na muda wako bure.
Cha kufanya ni kuwa mvumilivu na kuongea na mume kuhusu kuumizwa na anayofanya, haijalishi ni mara ngapi unamwambia na anarudia... Mkumbushe
Kama utaona unashindwa kuvumilia unaweza kuamua kuvunja ndoa
Pole
🤛🏿🤛🏿🤛🏿🤛🏿Huyu mungu anasinguziwa ata vitu vya ajabu
Adhabu ni hii hapa.....
Ondoka hapo nyumbani....
Hili linatosha kumuumiza na kubadilika kabisa