Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Pole sana unazidi kujitia Shimoni badala ya kutatua tatizo la mumeo kuchepuka wewe unaongeza tatizo kwa kuchepuka kisa kumkomoa mumeo
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Hata kama alikuwa abadilike hatabadilika Hadi umuungamie kuwa ULICHEPUKA.

Usipofanya hivyo subiri mabaya zaidi ikiwemo sisi kupata Taarifa ya Mtu Kuuawa kutokana na wivu wa mapenzi.

Kwako ROBERT HERIEL
 
Tena akikutana na mtu kama mie mzabzab mbona ata enjoy. Maana mie sina siasa naongea ukweli wa mambo.

Huwezi kuwapa watoto furaha wakati wewe mwenyewe huna furaha. Hilo nakataa kabisa. Pili kuna suala la magonjwa...huyo mumeo akiukwa huko unadhani atakuacha hivi hivi lazima akuambukize so hapo madhara tena kwako na watoto.

Tuwe wakweli wanawake wengi hawaondoki kwenye ndoa zao kwa sababu ya utegemezi kwa mume period.
Haya mwambie aondoke akapalangane na wanaume wakamilifu.amuache huyo mume malaya
 
Mie ushauri wangu kwake kama ana hela yake na anaweza kutunza wototo mwenyewe asepe tuu. Kama ni tegemezi basi atulize boli hapo
 
Eeeh unachosha viungo vyako kumkomoa mtu?[emoji28][emoji28]
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Huwez kushindana nae hata sku Moja mwenzako ni tabia yake ww unaigiza usithubutu kabisa kulipa kisasi, usimfuatilie jifanye kama hujali anayoyafanya ni ngumu sana kupotezea ila jitahidi ujifanye naww huna mda nae na uko bize na mambo yako, akitaka haki yake mpe haijalishi una maumivu kiasi gani, ww mpe
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kamwe usilipe kisasi kumkomoa mumeo ,nausijaribu kumfanya ajue unachepuka , anaweza akkakuacha,,
 
Aisee bongo wanawake nimeamini ni waoga kupitiliza....yaani wapo tayari waambukizwe magonjwa na waume zao kisa kutunzwa🤔🤔🤔🤔
 
Mie ushauri wangu kwake kama ana hela yake na anaweza kutunza wototo mwenyewe asepe tuu. Kama ni tegemezi basi atulize boli hapo
Mimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.

Hakuna mkamilifu
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumi

Usishindane na mwanaume, mwishowe utapata maumivu zaidi ya haya unayoyapata saivi, cha msingi tafuta njia sahihi ya kutatua hiyo shida
 
Mimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.

Hakuna mkamilifu
Sasa are we stating the obvious ama mie sijaelewa?

Suala ka kichepuka lipo ila sio mwanaume anachepuka mpaka kwa ndugu zako. Thats is too much.

Ebu wewe jiweke kwenye position mume wako anamgegeda labda mdogo wako wa kike au ata mama yako bado utabaki?
 
Pole Sana Mkuu.

Inauma Sana.

Ila huwezi muumiza Shetani Kwa kufanya ushetani.

Itakuwa mshikaji hakupendi au upendo wake kwako umekufa

Unachoweza kufanya ni Kumuombea, kufunga na kuomba,
Kubadilisha tabia yako mpaka mwanaume aone kuwa umebadilika.

Kujipenda, kuvaa vizuri na kutokuwa na habari naye.

Biblia inasema; usishindane na mtu Mwovu
 
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.

Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.

Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.

Nataka aumie kama ninavyoumia.

Toa connection na mchepuko wako. Umtumie hataumia saidi na kamwe hatochepuka tena.
 
Sasa are we stating the obvious ama mie sijaelewa?
Suala ka kichepuka lipo ila sio mwanaume anachepuka mpaka kwa ndugu zako. Thats is too much.
Ebu wewe jiweke kwenye position mume wako anamgegeda labda mdogo wako wa kike au ata mama yako bado utabaki?
Hakuna kilichobadilika hapo.labda nimeuweka mwandiko umekuwa mrahisi kama karatasi ukauelewa.

Sasa unataka nimsusie nani huyo mume.mama au mdogo wangu?hapana.

Wanawake tunanguvu kubwa sana mkuu..tukisema jambo na kulisimamia linakuwa.

Kama pesa ndio inayompa kiburi..ninauwezo wa kumwambia Mungu pesa za mume wangu ni kikwazo kwenye ndoa yetu😀😀ghafla sana Mungu anamuondolea kazi/biashara inayomletea kiburi(lakini huyo mwanamke ajiandae kweli na matokeo ya maombi Yake)

Sasa yote ya nini jamani eti.siutafute furaha ndani yako tu
 
Huyu mungu anasinguziwa ata vitu vya ajabu
 
Akichepuka unaumia
Ukichepuka unaumia

Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa lengo la kumkomesha mtu halafu ukaja gundua unayemkomesha hajali kitu... Inakuwa ni kama unatwanga maji kwenye kinu, unapoteza nguvu na muda wako bure.

Cha kufanya ni kuwa mvumilivu na kuongea na mume kuhusu kuumizwa na anayofanya, haijalishi ni mara ngapi unamwambia na anarudia... Mkumbushe

Kama utaona unashindwa kuvumilia unaweza kuamua kuvunja ndoa

Pole

Ni kweli Biblia inasema usishindane na mtu mwovu.

Namna Bora ya kumfanya mwanaume aumie ni kuuchochea Wiivu wake kwake.

Na ili wivu WA mwanaume u-rise basi itampasa ajirudishe katika level za awali kipindi walivyokutana.

1. Awe msafi
2. Avae apendeze
3. Ajipende na kujiamini
4. Ale vizuri na kunywa maji mengi.
5. Afanye mazoezi ili mwili ukae vizuri na mvuto wake urejee

Asije akadhani atamkomesha mwanaume ambaye Hana mapenzi na yeye/asiye na wivu naye.

Kadiri atakavyoanza kupendeza na kunawiri ndivyo atakavyoamsha hisia za wivu wa mapenzi. Na hapo ataweza kujiumiza.

Mpaka mwanaume uliyedumu naye kwenye ndoa Kwa miaka 10 bado anachepuka maana yake ni kuwa bado anavutia, anauchumi Imara wa kuvuta wanawake wengine.

Hapo cha kufanya ili asichepuke na Kama hataki kuachana ni kudhibiti uchumi wake,
Kuongeza mahitaji ya nyumbani na gharama za familia ili mwanaume akose pesa na apate changamoto za maisha.

Hujawahi sikia baadhi ya wanawake wakiwaombea waume zao wasifanikiwe Sana yaani wasipate pesa nyingi. Sababu mojawapo ni hiyo.

Mwanaume akipata pesa lazima achepuke, iwe Kwa kununua makahaba au kuwa na mchepuko. Hilo halizuiliki. Vinginevyo akuolee mke WA pili na watatu
 
Adhabu ni hii hapa.....
Ondoka hapo nyumbani....

Hili linatosha kumuumiza na kubadilika kabisa
 
Aondoke vipi wakati wanaume 90% tupo the same na mumewe ingawaje Mumewe amezidi mpaka anatoka na shemeji zake. Tafsiri yake analaana.

Hapo awaambie ndugu zake wakike wasiwe wanakuja kuja kwake, na wakija wasikae muda mrefu.

Wanawake wengi wajanja wanajua Jambo hili. Hawawezi Kuruhusu Wanawake wengi ndani ya nyumba Yao.
 
Back
Top Bottom