Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka namuambia aondoke kwa sababu ya ukimwi. Umalaya matokeo yake ni ukinwi. Hiyo stress atakayopata baada ya kuathirika ni kubwa kuliko kuendelea kukaa na mwanaume malaya.Aondoke vipi wakati wanaume 90% tupo the same na mumewe ingawaje Mumewe amezidi mpaka anatoka na shemeji zake. Tafsiri yake analaana.
Hapo awaambie ndugu zake wakike wasiwe wanakuja kuja kwake, na wakija wasikae muda mrefu.
Wanawake wengi wajanja wanajua Jambo hili. Hawawezi Kuruhusu Wanawake wengi ndani ya nyumba Yao.
Shida sana mkuu. Yaani uchepuke waziwazi niendelee kubaki na wewe, hapana aisee.Aisee bongo wanawake nimeamini ni waoga kupitiliza....yaani wapo tayari waambukizwe magonjwa na waume zao kisa kutunzwa🤔🤔🤔🤔
Bora wee unajielewa.Shida sana mkuu. Yaani uchepuke waziwazi niendelee kubaki na wewe, hapana aisee.
Yaani uishi kwenye ndoa ya mateso kisa nini?Bora wee unajielewa.
Wanakwambia kwa ajili ya watoto na kwamba wanaume ni wale wale wote uchepuka🤣🤣🤣Yaani uishi kwenye ndoa ya mateso kisa nini?
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Huu ushauri utamfaa sana sasa kazi kwakeNtakueleza Story ya Sister wangu kwa Ufupi, kama itakusaidia fanya alivyofanya, kama haitakusaidia, endelea na njia zako!
Sister wangu kaolewa na Mwanaume ambaye walianza Uchumba wakiwa Vijana, Mungu akafungua milango Mme wake akapata pesa mpaka sasa ni Tajiri Mkubwa...!
Miaka ya nyuma akagundua Mme wake ana kamchepuko, ikawa ni Ugomvi kila siku, mmewe mtu wa Mitungi, kurudi saa 6 usiku saa 8 Usiku kawaida, japo anasema pamoja na Mmewe kuchepuka hajawahi kulala nje!
Kuna siku anasema akaanza kujiuliza, Mbona Mumewe ana hudumia familia Vizuri, kamnunulia Gari ya kutembelea, Maendeleo anayaona siku mpaka siku, anamshirikisha kwenye Biashara zake, kamfungulia Biashara, anasomesha Watoto shule za gharama, kwani yeye kama Mwanamke anataka nini zaidi....!?
Akaona Vurugu zote alizokuwa anafanya ni Ujinga, akaamua kuacha kumfatilia, akirudi saa 6 hewala, akienda kushinda na mchepuko wake siku nzima shauri yake, Muhimu anajali familia yake!
Toka achukue uamuzi huo amekuwa na Amani, ana enjoy Maisha yake na Mmewe na familia yake!!!
NB.
Kama Mumeo angekuwa haudumii familia, halafu kazi ni kubadilisha michepuko, hapo ingekuwa tatizo!
Kama anahudumia familia.....! Usishindane na Mwanaume, angalia mambo ya familia yako kama yanaenda!
Kama umri bado ni early 30s unaweza kuamsha, but think uko at mid 40 uone ilivyo issue kupata jamaa wa kukukata kiu.Shida sana mkuu. Yaani uchepuke waziwazi niendelee kubaki na wewe, hapana aisee.
Wewe ni mjinga.Kama unaumia ondoka ila ukifikiri kwamba ukigawa ndo ataumia hapana.Bali utampa ushahidi kwamba yuko sahihiNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Kama umechepuka Bado hajaumia kilichobaki ni wewe kufaNimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Duuu acha hizo. Ndoa zenye migogoro huathiri sana watoto. Bora mtengane ili libaki jukumu la kulea watoto pamojaWanakwambia kwa ajili ya watoto na kwamba wanaume ni wale wale wote uchepuka🤣🤣🤣
Kwa kweli kwa hizi mentality ndio maana wanaume tunawafira wake zetu🤣🤣🤣🤣
Upendo haujawai kuisha wala kupungua. Hapo kuna jini mkata kamba kamvaa mume wakeMumeo anaishi na weww kwa sababu ni mke wake na umezaa nae ukute upendo na weww ushaisha na anakutafutia sababu. AKIJUA UNACHEPUKA HIYO NDIYO TIKETI YENU YA KUACHANA YEYE HATOUMIA ILA KAPATA SABABU YA KUACHANA NA WEWE. Na weww itakuuma zaidi ya hapa. Chagua muachane au umvumilie kama unampenda hayo matendo yake.