Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Mkuu ni wazi kuwa huyu mwanaume Malaya mbwa..pengine hata kurudi nyumbani mapema ni kitendawili.sasa ili tusikwaruzane…ninajipenda mimi kwanza..Kwa hili kwenda tu mahali hasa weekends unamuacha nyumbani husemi unaenda wapi ni lazima utakuja kupigwa tu...
Hakuna kitu wanaume wanachukia kupita maelezo mwanamke aondoke nyumbani anamuacha hapo sebuleni hasemi anaenda wapi wala kuaga...kingine ni arudi home usiku akute hujarudi,halafu ukirudi usiongee chochote au kujieleza....lazima akupige tu
Kwa wanaume ukifanya kitu kwa ujuaji au kwa kutokusema au kujifanya man-alone wao wanatafsiri ni kiburi na dharau,na response yao on these ni fujo mostly.
Hizi fujo zote utaziweza kweli ndugu?
Kama ni mtu wa kurudi usiku mwingi,ndio kabisaaa..nitoka zangu huko naenda kuhave fani vizuri sana..narudi mapemaaa kabla hata yeye hajarudi nyumbani napata nafasi ya kumuandalia chakula mume wangu kama mke.lakini nitatengeneza mazingira ajue kuwa nilitoka na nikarudi bila kumwambia.(kama ni viatu,Sijui mkoba au nguo niliyoivaa anaviona kuwa vilitumika.ninahakikisha situmii kilevi chochote kile kwa kipindi choooote hicho nilichoamua kutafuta furaha ndani yangu)
Ikimuuuma saaaana na kuniulizia nilienda wapi!jua sindano imeanza kumuingia(umalaya wa kiwango cha huyu jamaa ni wazi kuwa hajali)so kipindi kingine naongeza dozi mara tatu zaidi ya pale😀😀akibahatika kuniuliza tena basi hakika kuna ki tu kipya kimemuingia na ameanza kujali😄.wakati mwingine tena hivyohivyo…so kama kweli kajali basi kaumia na atatafuta namna awahi kurudi nyumbani mapema kabla yangu ili ajue huwa naendaga wapi au nilikuwa wapi.akiyafanya yote hayo tayar mwanakondoo kaanza kurudi kundini 😀😀taratiiiiiibu kabisa tu naanza kuijenga familia.
Hakuna muda wa kupigana vijembe huko status bila sababu ya msingi mara ohoo utanikumbuka Sijui vikapanda vikashuka 😀😀off coz atakukumbuka 😀😀si alikuoa bhana…mkazaa na watoto,,so kukukumbuka hiyo ni obvious 😅😅.
Mwanaume mpigaji si wa kumvumilia kabisa Kwa karne hii..hakawii kukutia ulemavu napinga vikali mno.
Ila mwanaume malaya halafu anatimiza majukumu Yake Kwa familia…hapana sikuachi cha muhimu tunakubaliana tu” baba naona umekubuhu kwa umalaya sasa mimi na wewe kupiga game hapana kwakweli” unafunga ukurasa mnaelea watoto wenu safi kabisa😄😄
*************************************
Yote haya yanawezekana kama tu mwanamke anakipato chake mwenyewe.anajua kuitafuta pesa Yake mwenyewe.vinginevyo basi yatakuwa ni mateso.