Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

Ya wanaume ni shida, we potezea kikubwa.
 
Hizi mentality ni mbaya sana. Kwza hiyo uishi na mchepukaji sugu sababu muda umeenda. Sasa huyo mpaka anaamua kuchepuka ili hali ana mume ndani? Kuna tofauti gani na kuachana na ndoa ya aina hii?
 
Auchukue huu ushauri aufanyie kazi
 
Muandalie tukio Moja Kali Sana ambalo litamuumiza maisha yake yote.

Leta huo michepuko wako chumbani kwetu afu uhakikishe mumeo anakufumania.Kama mtafanikiwa kutoka salama hapo( maana mnaweza mkauaua) vunja hiyo ndoa haraka na usepe mazima.
 
Ukiona unachepuka unaumia , ACHA!
Kuchepuka kuna lengo moja tu, RAHA!!!!!!!
 
Right and available person ya nioo....

Utadhani wanaokotwa barabarani kirejareja


Muda mwingine suluhu sio kuachana bali kuboresha mtizamo
Yaani huyo anaeweza kuchepuka akose mtu wa kumuoa kweli?

Mume anayetembea hadi na ndugu zako,ushajaribu kutafuta suluhu wee huyo ni wa kuboresha mtazamo kweli?
 
Akigundua hataumia ila atakuua au atakuacha kabisa yaani ndio utakuwa mwisho wa ndoa yenu, kupanga ni kuchagua na wanaume hatujawahi kuwa na mwanamke mmoja kamwe
 
Unachosema ni kweli

Hiyo kutoka home na kufanya vitu kama unashindana nae lifestyle ni lazima atakuja kua hostile,lazima atakupiga one day.

Wanaume tupo na very fragile egos,ataona kama una challenge his authority,atakusumbua tu.

Ila unachosema mostly ni kweli
 
Nope Mimi mzigo nili, Kisha mjulishe mumeo kuwa umenipa mzigo na tigo juu
 
Mimi nashauri kama mwanamke mwenzake.kama anapesa aanze kujipenda kwanza,kufanya maendeleo (vitegauchumi),kuombea watoto (uzao wake) na mumewe.

Hakuna mkamilifu
Labda ufanye kwa siri

Ukifanya kwa kuonesha sana au ukiwa tajiri zaidi yake jua ndoa hakuna tena dada

Mi naona the best way to kufanya yote hayo mazuri kwa ajili yako na asijue lolote,labda ajue kidogo sana...

Otherwise,we men know ourselves,anything challenging our supremacy hasa kwenye nyumba zetu will be removed kipende kisipende

Heri ukae kimya usioneshe chochote kama haupo vile
 
Adhabu ni hii hapa.....
Ondoka hapo nyumbani....

Hili linatosha kumuumiza na kubadilika kabisa
Aondoke aende wapi mzee baba?

Halafu wewe unadhani kwa akili yako huyo jamaa atapoteza muda hata kubeep simu yake kumtafuta?

Forget about it mzee!
 
Aondoke aende wapi mzee baba?

Halafu wewe unadhani kwa akili yako huyo jamaa atapoteza muda hata kubeep simu yake kumtafuta?

Forget about it mzee!
Kuendelea kukaa hapo nyumbani ni ukimwi na STD na PID atakuwa anajitibu kila siku.

Mwisho wa huo umalaya wa huyo mwanaume ni upi? Kama siyo kumpa kazi huyo dada ya kumtunza akiumwa na jukumu la kuwa mjane na kulea watoto as single mom?

Kuna tabia za kuvumilia lakini siyo umalaya wa wazi aise.
 
Duuu acha hizo. Ndoa zenye migogoro huathiri sana watoto. Bora mtengane ili libaki jukumu la kulea watoto pamoja
Mlee watoto pamoja?

Ndoa ikivunjika hakuna kitu kinaitwa "kulea watoto pamoja"....

Watoto wakifika 7 years wanachukuliwa na hutakaa uwaone tena,labda waje kutembea.

Usipokua careful mwanamke anaweza aishi kwa upweke wa ajabu sana....

This thing is not easy kama inavyoonesha!
 
Whats the better option?

Maana ukimwi unapatikana popote tu....huyo unaekutana nae mpya unadhani ni mpya unajidanganya tu,sio mpya....akapiga bao moja kavu ikawa ndio ukimwi tayari

Ukimwi ni probability,umalaya unafanya probability inakua kubwa zaidi lakini sio eti wewe hutapata

Kama malaya,tombana nae kwa kondomu ndio 100% guarantee....

Maana huko unakoenda nako wana dhania ya ukimwi kama huyu uliemuacha maana wote ni wanadamu wale wale

Labda muache halafu usikae utombane na mwanadamu wa aina yeyote ile kavu basi...

Bado hujanipa hoja ya maana ya kumuacha huyu unasema ni "malaya"!
 
Huku mtaani pagumu Sana Kama unapata chakula nakushauri utupie ulee mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…