Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Nina mifano mingi tu wanalea watoto pamoja bila tatizo. Watoto weekend kwa mama au baba, siku za shule wanakuwa kwa mwingine. Na wako happy tuHahahahaaaa
Hiyo si "tunalea pamoja"
Hiyo ni kulea kwa awamu
Na Afrika hilo halipo,mwenye nguvu ambae ni baba awataifisha watoto wote na sheria inatambua hilo
Wewe utapewa "visits" na watoto tena ubahatike awe na roho ya kiungwana kuwaruhusu
Otherwise anawapiga pini hakuna kwenda popote na hutakaa uwaone,labda uwavizie barabarani au shule
Hiyo ni broken homeNina mifano mingi tu wanalea watoto pamoja bila tatizo. Watoto weekend kwa mama au baba, siku za shule wanakuwa kwa mwingine. Na wako happy tu
Ndo nilivyo sasaMbona nitapata tabu, mtu mwenye wivu sana simpendi.
Wewe hujaishi na malaya so hujui maumivu yake.Utaachana na wanaume wangapi ndugu yangu na mnawatoto?
Aso hili analile mama.
Kikubwa asiwe anakupiga hapo ndipo pa baya.
Ni malaya that’s fine.anajua wajibu wake katika familia?anatunza familia?
Kama umalaya wake umekuwa tishio..basi changua hakuna kushiriki nae tendo la ndoa.
Anza na furaha yako wewe mwenyewe mamaaa..ukitegemea furaha yako akuletee mtu mwingine 😅😅lazima uumie.
Ni mume wako umtupie nani?ni malaya lakini anatimiza majukumu yote kama baba wa familia ya nini nimtelekeze huko ukraine akalipuliwe na mabomu?hapana kwakweli.tutapambana tu muhimu asiwe ananizabua makofi.
Kuna majaribu yanakuhitaji wewe mke kusimama na Mungu katika kuiombea familia na kuikomboa.mna watoto..kwanini usiangalie hayo madhaifu Kwa jicho la tatu Kwa upande wa watoto na kuwaombea?
Ninaweza nisieleweke.ngoja niishie hapa.
Mwanamke yeyote zingatia kujipenda wewe kwanza.furaha ianze na wewe.furaha yako kipaumbele chako
🥂🥂
🤸♀️🤸♀️
Basi nitakupenda hivyohivyo..Ndo nilivyo sasa
Maumivu ya wapi wivu tu unakusumbua, hutaki wenzio nao waufaidi Mukuyenge wa mumeo, uchoyo tu, kutaka ule peke yako muhogo wa jang'ombe.Wewe hujaishi na malaya so hujui maumivu yake.
Nimeishia hapi
Siwewe so unajua unamvyomtesa mama sara pale moshono mwone ngoja tutakuitishia kikao tukutenge kwenye ukooMaumivu ya wapi wivu tu unakusumbua, hutaki wenzio nao waufaidi Mukuyenge wa mumeo, uchoyo tu, kutaka ule peke yako muhogo wa jang'ombe.
Daaah, umeua bendi..🏃♂️🏃♂️Siwewe so unajua unamvyomtesa mama sara pale moshono mwone ngoja tutakuitishia kikao tukutenge kwenye ukoo
Wewe ni mjinga. Kama kwenye zizi la ng’ombe ishirini linahitajika dume la ng’ombe moja tu, sembuse wewe mwanamke mmoja kwa mumeo, je unamtosheleza?Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jf inaficha vingi sana nyie loh.kuna vitu vinahitaji muda,maturity na umri kuvijua au kuviishi.so relax tu bestie maisha ya mitandaoni hususani jf ni tofauti sana na ya mtaani.so tuendeleeni kunywa bia jamani😀😀Wewe hujaishi na malaya so hujui maumivu yake.
Nimeishia hapi
Kuishi na malaya haitaji vyote hvyoo niunakumbuna na naye tu . Mi sinywi bia sio zama zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jf inaficha vingi sana nyie loh.kuna vitu vinahitaji muda,maturity na umri kuvijua au kuviishi.so relax tu bestie maisha ya mitandaoni hususani jf ni tofauti sana na ya mtaani.so tuendeleeni kunywa bia jamani😀😀
Pamoja sana chief.Kuishi na malaya haitaji vyote hvyoo niunakumbuna na naye tu . Mi sinywi bia sio zama zake
Hivi ni kweli shetani ndie anaye husika na haya yote au ni mentality mind imetupelekea huko.Shetani amefanikiwa kuwreck our homes. Amefanya ndoa kuwa an ugly option or choice. Watoto wetu watkuwaje hapo mbeleni?? Oouh Lord kizazi cha baadae kitakuwaje. The trauma being built right now well the aftereffects are massive. Mbaya sana hii....
Ninae dada alikuwa kama wewe. Alirudishia mume kila alichokua anamfanyia in the name of seeking her own happiness. Alilala na watu mbalimbali. Alifanya uchafu usio na kipimo. Aliutoa mtaro wake kama hana akili nzuri. Alilala na wanawake kwa wanaume. Guess what??
She is now six feet under. Alikuja kuumwa sana...uti wa mgongo plus miwaya. Akachakaa. Funny thing... Mume bado anadunda na alishavuta jiko lingine. Hana habari.
Lets seek wisdom from God. HE is our only hope. Katika kulipiza kisasi kuna kujinunulia jeneza lako pia.note that.
Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha ngono iitwe ngono na ndoa iitwe ndoa. Kutamaniwa na wanaume kukupanda haimaanishi ndiyo mtu atavalisha pete. Kwani yeye hajui alipokutoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38], tutafakarini kwanza.Yaani huyo anaeweza kuchepuka akose mtu wa kumuoa kweli?
Mume anayetembea hadi na ndugu zako,ushajaribu kutafuta suluhu wee huyo ni wa kuboresha mtazamo kweli?
Dah,Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.