Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
kwahiyo wewe ukajua ndoa ni free styleπππ. Ndio maana zikaitwa ndoa za mchongo sikuizi, wewe nani kakwambia ukiolewa unaishi kama msela. Sasa siubaki bachelor tujue. Simwanaume wala mwanamke wote wapo kifungoni. Ndoa sio dating wala courtship ππ
Halafu kuchepuka kwa mwanamke kunamwisho labda awe anajiweza hivyo aanze kulea watakaochepuka naye. Huyo mwanaume mjinga wakuoa mdada wa kujirahisisha siatakuwa mjinga. Wewe mwenyewe mdada utajishtukia. Pia, uzinzi ukifika kipindi utakuchosha tu. Kila siku unachukuliwa kama tambala bovu kwakujirahisisha, utajiona mpumbavu umri wa utu uzima ukiingia balaa. Ujana maji ya moto.
Sasa nawewe siunaona tayari kashairibu ndoa yake au wewe unavyoona nisawa. Mwenzako akiharibu sepa, chakujiumiza nini. Ndoa nikifungo, mtu yeyote akikivunja ndoa imevunjika. Mimi naongelea ndoa iliyotulia wewe unanitolea mfano wa ndoa iloyokufa, tupo sawa kweliπππhuyo mwanaume ndio anaishi kama msela na si kweli yuko kifungoni, anafanya analotaka, huyu mwanamke ndio yupo kifungoni.
Eti ndoa sio dating wala courtship, hujielewi mkuu...au wewe ndoa yako ilikua ya mkeka,uliozeshwa tu? na hujui hizo ni process tu za kuelekea ndoani.
Sasa unaexperiment ndani ya ndoa halafu still uiite ndoa, we mzima kweli. Umeshaingia ndani ya ndoa, eti unafanya process ya kuingia tena ndani ya ndoa kabla ya kujitoa kwenye hiiπππ.nishaona watu kibao wameachika na kuolewa, ndoa sio kifungo uvumilie kila aina ya ushenzi, kisa kujirahisisha ndio watu wanatafsiri ndio kuchepuka, mtoa mada chepuka unaweza kupata anayekufaa....usiogope kamwe ku 'experiment' huko nje,kunaweza kukafaa zaidi.SIO wanaume wote wanachepuka hadi na ndugu wa mke, wapo good men,is you to find them.
Sasa nawewe siunaona tayari kashairibu ndoa yake au wewe unavyoona nisawa. Mwenzako akiharibu sepa, chakujiumiza nini. Ndoa nikifungo, mtu yeyote akikivunja ndoa imevunjika. Mimi naongelea ndoa iliyotulia wewe unanitolea mfano wa ndoa iloyokufa, tupo sawa kweliπππ
wewe una mpango tu wa kubishana, experiment ni uasherati, ila huo anaoufanya mumewe sio uasherati?? au kunya anye kuku akinya bata kaharisha, hapa usizunguke mibuyu tunachoshauri ni huyu dada amove on, kama umenisoma posti yangu ya kwanza nimeshauri aachane na mumewe, sijui unaniquote ili iweje??? chukua time hukoSasa unaexperiment ndani ya ndoa halafu still uiite ndoa, we mzima kweli. Umeshaingia ndani ya ndoa, eti unafanya process ya kuingia tena ndani ya ndoa kabla ya kujitoa kwenye hiiπππ. Sasa hiyo sio experiment bali inaitwa uasherati. Watu hawaexperiment ndani ya ndoa bali mnaishi, ndoa ikivinjika toka kaexperiment. Sasa mwenzako anang'ang'ania kote. Kwakweli TZ tuna mental disorder πππ. Sianataka kuexperiment, basi atoke ndani ya ndoa. Sasa mwenzako kacheat nawewe unacheat badala ya kusepa, mbona akijiua wewe hutajiuaπππ. Aisee wadada maisha sio kucopy na kupaste pia mabaya mawili hayafanyi moja liwe zuri. Tunasafari ndefuππ. Mwishowe muuwane.
Mwambie, watoto sio wakwake!!Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Itoshe kusema ndoa zinawenyewe.Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Huu ni ukweli mtupu.Mimi ni mwanamke lakini ninajua wanaume sio tu wana wivu..Bali pia majeraha yao hayaponi kila mara jeraha linaubichi.tena ishu yenyewe ya mapenzi hakika huyu mwanamke akifanya huu upuuzi hataamini macho Yake dunia itakavyomgeuki
Dada ukitaka mumeo aumie basi mwonyeshe mapenzi mazito sana, mnyenyekee, mdekeze na mfsnye wa kwanza kwa kila kitu.Nimeolewa ndoa yangu ina miaka kumi, miaka yote hiyo nimekuwa nikiishi kwa mateso, mume wangu anahudumia familia na kila kitu, lakini ni malaya sana, anatembea mpaka na ndugu zangu.
Nimevumilia mpaka nikachoka, mwaka jana kwa hasira nikaamua kuchepuka, mwanzo nilikuwa na amani lakini sasa hivi sina amani kwani naona kama mume wangu haumii. Yeye anachepuka mimi najua nateseka lakini yeye hajui kama mimi nateseka.
Tumeshaitishwa vikao mpaka wametuchoka, nataka kumuumiza mume wangu, nataka ajue uchungu ninaoupitia, nataka kumuonyesha kuwa nina mwanaume mwingine, nashindwa nifanyeje, niache meseji au nipige picha nikiwa na mwanaume mwingine ili aone.
Nataka aumie kama ninavyoumia.
Duu, au azae na mzungu au mwarabu, ila jamani mapenzi yanatesa sanaTembea na jirani yako au ndugu yaake apo lazima aumie au tafuta rafiki yake jililengeshe