Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,691
- 2,967
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu
Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.
Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.
Natanguliza shukrani.
Homoni hizo zipo inavyotakiwa .. Ndio urijali huo baba ..Dawa ni kuongeza homoni za kike , kuacha hiyo kazi au kuendelea unavyofanya kila sikuJaribu laser hair removal....
Aongeze homoni za kike kivipi aiseeeHomoni hizo zipo inavyotakiwa .. Ndio urijali huo baba ..Dawa ni kuongeza homoni za kike , kuacha hiyo kazi au kuendelea unavyofanya kila siku
Homoni hizo zipo inavyotakiwa .. Ndio urijali huo baba ..Dawa ni kuongeza homoni za kike , kuacha hiyo kazi au kuendelea unavyofanya kila siku
Naona zuribeautyclinicandspa anatoa hii service,....Jaribu laser hair removal....
Hahaamagari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii