kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elevated levels hapana very rare unless aseme kama anatumia steroids za mazoeziYes, ni hormones.
Lakini inawezekana ana elevated levels za testosterone.
Ndo maana ana ndevu nyingi hivyo.
Laser hair removal will do the trick.
Asante sanaMmh...jamaniii polee,.
Mkuu sasa ndio kila siku??uwe unanyoa kila hiyo asubuhi tu ndo solution... hayo mawazo ya kutaka kujua dawa ya kuzuia zisiote yafyekelee mbali utakuja na shida nyingine tena
Shida nini boss??Naomba msaada wakoHaahaa nimecheka mbele za watu mpaka nimemwaga konyag yangu"nikilala nasikia zinaota"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mwenyekiti wa BAKITAbinadamu wa kawaida yoyote? Tunasema binadamu ye yote na so yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maji makali au baridi???Mkuu chukua maji ya betri nawa nayo jioni asubuhi amna kitu na hazioti tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nasikia kabisa kama sisimizi wanatembea kidevuniUkilala unazisikia zikiota ?? hapa ndo umeharibu mkuu [emoji28][emoji28]
Nimetumia sana mkuuJaribu laser hair removal....
Elevated levels hapana very rare unless aseme kama anatumia steroids za mazoezi
Nimetumia sana mkuu
Kumbe na wewe ni msukuma?We ni msukuma nn?manake hilo tusi la mtumbafu uncle na mama wanalitumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kumulikwa na ile taa??Umeitumia sana? Kivipi na wapi!?
Hapana boss zipo OK kabisa. Vuzy nanyoa zaidi ya mwezi kabisa. Kichwani kila wiki na zaidi. Mchawi kidevu tuuZa sehemu nyingine za mwili je? Nazo zinaota kwa speed hiyo ya Dream liner?
Sent using Jamii Forums mobile app