avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Wanawake wenyewe siku hizi baada ya kuanza kutumia mikorogo na make up wana midevu inayokaribia kuzidi ya kwetuaongeze homoni za kike kivipi aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wenyewe siku hizi baada ya kuanza kutumia mikorogo na make up wana midevu inayokaribia kuzidi ya kwetuaongeze homoni za kike kivipi aiseee
Dah hiyo source!
Ohooo karibu sana
Kafanye laser treatment. Sifahamu kama Tanzania wanafanya. Nimeona nje ya nchi kwenye matangazo, watu wanaenda kutoa ndevu na nywele zingine (hahahaha).Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu
Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.
Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.
Natanguliza shukrani.
Nunua oestrogen uwe unameza. Ila ukiota chuchu mi simo!Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu
Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.
Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.
Natanguliza shukrani.
Wakuu Habarini.

Usijaribu kutumia dawa ya kuzuia ndevu kuota, acha kabisa kumsahihisha mwenyezi Mungu utakuja kushangaa zitakapoanza kuota kwenda ndani na si kutoka nje ya kidevu tenaMkuu nasikia kabisa kama sisimizi wanatembea kidevuni
hahahahahaa, niliwazaga ivi one day, kumbe nilikua rightzitakapoanza kuota kwenda ndani na si kutoka nje ya kidevu tena
Kabisa mkuuhahahahahaa, niliwazaga ivi one day, kumbe nilikua right
Kwa hiyo unataka kumaanisha hedhi ni dawa??Damu ya hedhi ya mwanamke inatoka ndani mwake, haiko ju ya ngozi yake pale panapoota mavuzi. Tofauti ndiyo iko hapo.
Kwahio sie wenye ndevu kama uvuzi uvuzi hatuna testosterone nyingi eeh?Yes, ni hormones.
Lakini inawezekana ana elevated levels za testosterone.
Ndo maana ana ndevu nyingi hivyo.
Laser hair removal will do the trick.
Kwa hiyo unataka kumaanisha hedhi ni dawa??
Yes, ni dawa ya kuwindia na pia ni dawa ya kuzuia ndevu kuota na hata ukitaka para la nguvu pak hedhi kichwani kisha nyoa baada ya dakika kama 5 hivi....utaona para linamelemeta kinoma na nywele kuchelewa kurudi.
magari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii
daah yaani hizi sound sio mchezo, eti unasikia kabisa ndevu zinaotamagari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii
Usiache kunipa lift bro. Maana hapa si salama.
Na hapo anakuambia kalala usiku (usingizi)daah yaani hizi sound sio mchezo, eti unasikia kabisa ndevu zinaota
Hapa hakuna kitu.Njia ipo mkuu, siku ukiwa OFF nyofoa moja moja mpaka ziishe au zibaki chache zina maumivu makali n zitakuachia vipele vilivyovimba kutokana na maumivu baadaye vitakwisha na ndevu zako zitachelewa sana kuota.
Yaani sijui wanaona huku JF ni kama facebook?Na hapo anakuambia kalala usiku (usingizi)