Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

Sasa si ndoni nikachimba shimo du watu wakaja niliona maajabu hadi nauli ikazidi watu wakaoga hadi basi kufika kituo tu daa tukashusha mizigo barafu miwa na mahindi hadi tuka subir gar ya tololi noma hadi leo aja sahau kamanda

nawasilisha
 
Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.

Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.

Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu

Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa

Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota

Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.

Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.

Natanguliza shukrani.
Duh ayse itabidi uwe na saloon binafsi nyumbani kwako ili uepuke cost za kwenda saloon kila siku[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.

Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.

Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu

Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa

Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota

Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.

Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.

Natanguliza shukrani.
Chukua mkojo wa Kuku mweupe wa kienyeji aliyefiwa na babu yake. Changanya na nusu Mate ya kinyonga mweusi asiyekuwa na matege. Ujipake nayo kwa siku X 3. Utaona mabadiliko.
 
Achana na kunyoa to wax maeneo ambayo hutaki kuwe na ndevu then kwenye kidevu unaweza kustyle Kisha uwe unapunguza kidogo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom