InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
...sio ''so'' ni ''sio''binadamu wa kawaida yoyote? Tunasema binadamu ye yote na so yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...sio ''so'' ni ''sio''binadamu wa kawaida yoyote? Tunasema binadamu ye yote na so yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea tu, siku nyingine utasema "Naomba dawa ya kulainisha amber rutty imekua ngumu shauri ya kukata gogo"Mimi nataka kujua mafuta yoyte ya kulainisha kidevu maana naona kidevu kimekomaa coz ya kunyoa ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ayse itabidi uwe na saloon binafsi nyumbani kwako ili uepuke cost za kwenda saloon kila siku[emoji4]Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu
Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.
Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.
Natanguliza shukrani.
Akitumia tochi ya kawaida kujimulika kidevu haiwezi kumsaidia?Kafanye laser treatment. Sifahamu kama Tanzania wanafanya. Nimeona nje ya nchi kwenye matangazo, watu wanaenda kutoa ndevu na nywele zingine (hahahaha).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]magari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii
Chukua mkojo wa Kuku mweupe wa kienyeji aliyefiwa na babu yake. Changanya na nusu Mate ya kinyonga mweusi asiyekuwa na matege. Ujipake nayo kwa siku X 3. Utaona mabadiliko.Wakuu Habarini.
Nna issue moja inanisumbua sana nimeona nije hapa nipate ufumbuzi.
Nina tatizo la kuota ndevu kwa haraka sana nadhani kuliko binadamu wa kawaida yoyote.
Bahati mbaya sana kazi ninayoifanya inanilazimu nisiwe na Ndevu. Hivyo maisha yangu yote yametawaliwa na kunyoa ndevu tuu
Yani nikinyoa ndevu saa mbili usiku hadi kufika asubuhi saa 12 ni kama sikunyoa ndevu kabisa
Yani nikilala usiku nazisikia kabisa ndevu zinaota
Imefika kipindi inanibidi niwe nanyoa kila asubuhi ili nikienda kazini niwe Nadhifu.
Naomba msaa nifanye nini ili ndevu zisiote kabisa au laa kupunguza tatizo.
Natanguliza shukrani.
Je wewe unaweza kuvipata vyote hivyoChukua mkojo wa Kuku mweupe wa kienyeji aliyefiwa na babu yake. Changanya na nusu Mate ya kinyonga mweusi asiyekuwa na matege. Ujipake nayo kwa siku X 3. Utaona mabadiliko.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂magari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii
Mimi nataka kujua mafuta yoyte ya kulainisha kidevu maana naona kidevu kimekomaa coz ya kunyoa ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app