Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wakati huo huo mimi apa![emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha yangu na nilipo vinahusiana nini na hutaji langu.
Tungejua tunakusaidia vip mkuuPicha yangu na nilipo vinahusiana nini na hutaji langu.
Ama Apple 🤣🤣🤣Hutaki ndevu unataka uwe na sura nyororo kama Embe?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwenye nacho huongezewa.Mie natafuta hata mafuta ya ku boost ndevu zangu. Ziko so patchy na nikinyoa zote naonekana kama nina 18 years old ![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa na vile vifaa vinavyohitajika inakuwa poa ila kama huna unaeza ukafosi ukajitoa mapele tu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwenye nacho huongezewa.
Sema wabongo wengi wanaume hamna desturi ya kushave ndevu wenyewe mpaka muende saloon. Kama una midevu hapo kila wiki saloon
Yes lazima uwe na vifaa na ufanye kama daily routine wakati wa kuoga kama zimeota.Ukiwa na vile vifaa vinavyohitajika inakuwa poa ila kama huna unaeza ukafosi ukajitoa mapele tu.
Yap! Sema vijana wengi hatuko organized. Tunaona tumalizie kesi saluni tu.Yes lazima uwe na vifaa na ufanye kama daily routine wakati wa kuoga kama zimeota.
Ndio hivyo kama una asili ya ndevu na hupendi zikae rough hapo kila baada ya siku 3 saloon.Yap! Sema vijana wengi hatuko organized. Tunaona tumalizie kesi saluni tu.
Kuna watu hawana ndevu kabisa...Je hawana nguvu za kiume?Dah! Maisha haya bhana... Hadi Mungu anatushangaa binadamu tunataka nini?
Nairobi, Turkey na India sasa wanafanya Hair Transplantation kwa ajili ya kusaidia watu kuota nywele na ndevu. Mtu analipia Dollar 3,000 , ambayo kibongobongo ni kama Tsh 7,050,000 hivi. Kuna waturuki waliniomba ushauri mwaka 2016/2017 kuhusu kuanzisha hicho kituo hapa Bongo nikawashauri watulie kwanza maana kwa sasa hakuna Mchaga au Msambaa atakayetoa Tsh 7,000,000 ili aote ndevu - demand bado ilikuwa ndogo.
Any way, kama ndevu zako ni nyingi sana kiasi cha kukuharibia pozi basi angalia style nzuri ya kuzifuga kama kazi yako inaruhusu. Ila kama mazingira yako hayaruhusu kufuga basi jitahidi tu kunyoa kila week end ili jumatatu uende kazini ukiwa smart.
Kama unazichukia sana unaweza kucheki na madaktari wakakusaidia kuangalia kiasi chako cha homoni za kiume na kuziweka sawa kama zipo nyingi sana na ndizo zinachochea ndevu kukua haraka. Kama ni homoni basi nadhani na nguvu za kiume utakuwa nazo nyingi sana pia, kwa hiyo ukihitahi kuzipunguza mwambie kabisa daktari.
Kuna Laser treatment pia ambayo hutumika kwenye shina la nywele na kuzuia zisiote kabisa. Corona ikitulia na Madege yakianza kupaa nenda zako India kaka. Ni hela ndogo tu nadhani haizidi Millioni 20, na ukifanya mara moja tu ndio basi maisha yako yote hazioti.
Kila la kheri!
😀😀😀 20Milioni? Nadhani nitaziacha tu. Tatizo zinaota haraka sana, tangu nimeandika huu uzi nimeshanyoa ndevu zaidi ya x4. Na hapa kesho inabidi nikanyoe pia.Dah! Maisha haya bhana... Hadi Mungu anatushangaa binadamu tunataka nini?
Nairobi, Turkey na India sasa wanafanya Hair Transplantation kwa ajili ya kusaidia watu kuota nywele na ndevu. Mtu analipia Dollar 3,000 , ambayo kibongobongo ni kama Tsh 7,050,000 hivi. Kuna waturuki waliniomba ushauri mwaka 2016/2017 kuhusu kuanzisha hicho kituo hapa Bongo nikawashauri watulie kwanza maana kwa sasa hakuna Mchaga au Msambaa atakayetoa Tsh 7,000,000 ili aote ndevu - demand bado ilikuwa ndogo.
Any way, kama ndevu zako ni nyingi sana kiasi cha kukuharibia pozi basi angalia style nzuri ya kuzifuga kama kazi yako inaruhusu. Ila kama mazingira yako hayaruhusu kufuga basi jitahidi tu kunyoa kila week end ili jumatatu uende kazini ukiwa smart.
Kama unazichukia sana unaweza kucheki na madaktari wakakusaidia kuangalia kiasi chako cha homoni za kiume na kuziweka sawa kama zipo nyingi sana na ndizo zinachochea ndevu kukua haraka. Kama ni homoni basi nadhani na nguvu za kiume utakuwa nazo nyingi sana pia, kwa hiyo ukihitahi kuzipunguza mwambie kabisa daktari.
Kuna Laser treatment pia ambayo hutumika kwenye shina la nywele na kuzuia zisiote kabisa. Corona ikitulia na Madege yakianza kupaa nenda zako India kaka. Ni hela ndogo tu nadhani haizidi Millioni 20, na ukifanya mara moja tu ndio basi maisha yako yote hazioti.
Kila la kheri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]magari mengine nitapanda ila hapa sipandi, huu uongo kabisa...danganya kwa style ingine sio hii
HAHAA... humtakii mema.Homoni hizo zipo inavyotakiwa .. Ndio urijali huo baba ..Dawa ni kuongeza homoni za kike , kuacha hiyo kazi au kuendelea unavyofanya kila siku