Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota?

Homoni hizo zipo inavyotakiwa .. Ndio urijali huo baba ..Dawa ni kuongeza homoni za kike , kuacha hiyo kazi au kuendelea unavyofanya kila siku
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Dawa ssa si unayo ushajua kwamba ukinyoa ukilala ukiamka zineota tena bc we nyoa half usiwe unalala uwe unakesha macho amin Hazitaota tena au una swar la ziada tena apo
 
Umeshapata solution?
 
Mkuu wewe una haja ya kutaka zisiote wewe nyoa ama trim kwa syle nzuri au zipungze sasa unakataa ndevu zisiot ena huku ndo uanaume huo kuna watu hawana hata kidogo wanavaa mawigi come on man have some self respect
 
Ndevu ni kazi ya hormone ya testosterone ambayo inatoka kwenye korodani. Ukitoa korodani, hutakuwa na testosterone. Na hautakuwa na ndevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…