ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
We jamaa lazima ni muhaya?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi na elimu not compatibleNimeishia hapa...
Mtu mzima wa miaka 36 na PhD, kama mambo ya kifamilia yanakushinda hadi kufikia kutafutiwa mke maana yake elimu yako haijakusaidia kutatua shida zilizokuzunguka.
Well inasikitisha sana lakini lazima vijana waelewe kwamba hawawezi kukimbizana na muda,issue kama nataka kuoa siyo ya kulala usiku kwa sababu tu uliwaza wakati ulipokosa usingizi ukakaa macho kitandani mwako ukajisemea kesho nitafute mchumba nioe hilo linataka muda.Sad story😓😓
Pole sana mkuu kwachangamoto unayo pitia kihisia. binafsi nimeihisi huzuni yako moja kwamoja.
Ni mawili hapa ninayodhani. Ama unahamasisha watu kutooana. Wenyewe mnaita, "Kataa ndoa" au kuutukuza uislam. Kama si hivyo, nisamehe tu ndugu. Ushauri,, ikiwa hili ni tukio la kweli, hakuna kukata tamaa. Huyo mwanamke sio Hawa, kwamba ndiye pekee aliyepo duniani na asipokuwa yeye maisha yamekoma.Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
Kila kitu kinatokea Kwa sababu Fulani...hakuwa chaguo lako utampta mwingine pole mkuuNiliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
Mapenzi na elimu not compatible
Hivi umesoma vizuri?Pole kwa matatizo mkuu naamini hii story ni ya kweli na yamekukuta wewe.
Biblia inasema mke haachwi ila kwa zinaa tu. Kwa hiyo una kila sababu ya kumuacha na hamna kitu atafanya.
1. Shirikisha mshenga wako jambo hili na ataita pande zote mbili kumaliza hiyo ndoa.
2. Shirikisha viongozi wa kanisa lako ilipofunga ndoa uvunje hiyo ndoa.
3. Shirikisha wazazi wako.
4. Tafuta namna ya kusahau hilo jambo. Shiriki mazoezi, kuwa busy na kazi, nenda vacation n.k
NB: Hakikisha juu chini ndoa inavunjwa na mahakama na uwe una ushahidi.
Wazazi wake wanajua wanakuchezea shere tu.
Mke wako alikuwa keshaingizwa kwenye mfumo wa kishetani wa majini, na kibaya kabisa wewe hukuligundua hilo mapema. Unachotakiwa kufanya, mshukuru Mungu, achana naye kabisa kwani ni bora uhai kuliko angekuwekea sumu ukafa. Huyo mkeo atakuja kufa kifo kibaya sana na very soon atajuta maana waislamu na uchawi, mapepo na majini ni kawaida so jitahidi uwe mbali kula hamsini zako nenda kanisani elezea tafuta mke mwingine uoe.Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
Wajinga ndio wali wao kila siku kweli unakipato kizuri unasumbuliwa na majinga hayo JARIBU KUKUA mi sijasoma nina elimu ya form iv siwez kulilia penzi la wajinga wajinga totoz mingi mpaka basNiliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
🤣🤣🤣Hili jambo nimeshindwa kufanya maamzi baada yakuharambishwa kutafutiwa mke ama kuharakishwa nitafute binti ni mwoe matokeo yake ni kudabhangura tuNiliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.