Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

Sad story😓😓
Pole sana mkuu kwachangamoto unayo pitia kihisia. binafsi nimeihisi huzuni yako moja kwamoja.
Well inasikitisha sana lakini lazima vijana waelewe kwamba hawawezi kukimbizana na muda,issue kama nataka kuoa siyo ya kulala usiku kwa sababu tu uliwaza wakati ulipokosa usingizi ukakaa macho kitandani mwako ukajisemea kesho nitafute mchumba nioe hilo linataka muda.

Zipo taratibu zake,hata kama mke ni wa kutafutiwa shangazi hawezi kumjua mwanamke sahihi hiyo kazi mpe baba yako babu yako au hata dada yako hawa ndiyo wanaujua umuhimu wa ndugu yao kupata mke mtulivu ila kama hapa shangazi ameenda kumtafutia mshangazi unaokaribia menopause uliokwisha kuchanganyikiwa na dunia limemletea kijana wa watu balaa,yaani mwanamke anaacha mume mmoja anaenda kuolewa mke wa pili hivi humo kweli mlikuwa na mke?

Hata huyo bwana mpya aliemuoa nae hana akili vilevile tena mimi naona bora amefanya hivyo mapema maana huko mbele angeleta kasheshe zaidi
 
Pole sana mkuu,

Ila huyo Mwanamke hakufai tena,
Kama kuna haki zako unaweza kupeleka haya malalamiko yako huko Kanisani mlipofunga ndoa,waambie kua mkeo kaolewa bila ya wewe kumpa talaka,hiyo ndoa yao ni batili,kisheria na kidini,

Mshukuru Mungu kwa kukuondolea huyo Mke asiyefaa na asiye na ubinadamu hata kidogo,

Muda utakutibu mkuu,na huyo Mwanamke ipo siku atajutia unyama aliokufanyia,Karma hua haipotei,

Relax and live ur life.
 
Ni mawili hapa ninayodhani. Ama unahamasisha watu kutooana. Wenyewe mnaita, "Kataa ndoa" au kuutukuza uislam. Kama si hivyo, nisamehe tu ndugu. Ushauri,, ikiwa hili ni tukio la kweli, hakuna kukata tamaa. Huyo mwanamke sio Hawa, kwamba ndiye pekee aliyepo duniani na asipokuwa yeye maisha yamekoma.
 
Kila kitu kinatokea Kwa sababu Fulani...hakuwa chaguo lako utampta mwingine pole mkuu
 
Miezi 6 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
 
Sasa nisikilize vizuri, Mimi naongea Kwa uzoefu, ninawajua Ndani nje kiasi kwamba hawa viumbe Nina jeuri juu yao.


Si kwao mwanamke walimkataa huyo Mumewe??.

Si kwao Mwanaume wanajuaa huyo mwanamke alikua kaolewa Nawewe??

Si huyo Mumewe anajua kua Umekaa na huyo mwanamke kama mzigo umekula sana tu??.

Yeye Licha ya kubadili dini, sinaakua Mke wa Pili??.



Relax, Nakupa miezi sita mpaka mwaka mmoja , atatafuta namna ya kujirudi kwako, ila usimrudie ,usiwe mjinga mpaka ukubali kuambiwa er alikua anamimba ila akawa anaendelea kuona siku zake !!.

Kwa Sasa fanya mambo yafuatayo

-Kwanza mwambie Mzee wako jambo Hilo na kaka zako USO Kwa USO.

-Usimsimulie mwanamke yoyote habari hiyo, narudia, usimsimulie mwanamke yoyote . Labda kidogo, iwe hivi "Niliamua kumfukuza Kwa sababu niliona nastahili mwanamke Bora zaidi".

-Usikimbilie kwenye Mahusiano chapchap.

-Jipe muda

-Boresha Maisha yako Kwa ujumla, yaan Afya, Kipato, Mwonekano .

-Kwenye Kujipa Muda Tafuta demu pisiii uwe naye urafiki tuu.

-kwenye mitandao ya kijamii, Post mambo mazuri mazuri yanayokuonyesha u mwenye Furaha kuuu, unafurah na Wana, na hiyo pisi ( USITHUBUTU HATA SIKU MOJA KUMBLOK AU KUWEKA STATUS ZA KULIA LIA KAMA MJINGA) , Kwa sababu lengo lake kuu ni kuona Unaumia na kulia.


Kosa Moja ulifanya, ni kumfata Bwanake uanze kumwambia akuachie mwanamke, KOSA kubwa,,,,,,, Hilo ungefanya kama wee ni MTU wa Kanda maalumu yetu, yaan unamfata kumuonya ila akirudia ANAKULA PANGA LA SHINGO.

Sasa kwakua wote wawili lengo lao Kwa Sasa ni kua wamekuumiza, Hawatakua na muda, subiri azae mtoto akue kue ,ndo utajionea


.
Wanawake ni weeengi wanamwagikiaaaaaa .
 
POOLE SANA MKUU, JAMBO KAMA ILI NI ZITO SANA NAJUA HALIBEBEKI KABISA, YANI KATIKA YOTE INAONEKANA KUNA SEHEMU ULIKUWA HAUMPATII VIZURI, ITAKUWA UNA APPLY UINGEREZA SANA SEHEMU AMBAYO YEYE AHITAJI, NACHOWEZA KUKUSHAURI KWA SASA JIKITE KWENYE IBADA NA MAZOEZI YA KEGEL ILI UWEZE KUJIWEKA FIT HASA KWENYE KUICHAKATA MBUSUSU AU KAMA UTAHITAJI MSAADA ZAIDI NICHEK TU PM IPO WAZI NISHAELEWA TATIZO LAKO..
 
Hivi umesoma vizuri?
Amuache wakati kisha aches yeye?
 
Mke wako alikuwa keshaingizwa kwenye mfumo wa kishetani wa majini, na kibaya kabisa wewe hukuligundua hilo mapema. Unachotakiwa kufanya, mshukuru Mungu, achana naye kabisa kwani ni bora uhai kuliko angekuwekea sumu ukafa. Huyo mkeo atakuja kufa kifo kibaya sana na very soon atajuta maana waislamu na uchawi, mapepo na majini ni kawaida so jitahidi uwe mbali kula hamsini zako nenda kanisani elezea tafuta mke mwingine uoe.
 
Wajinga ndio wali wao kila siku kweli unakipato kizuri unasumbuliwa na majinga hayo JARIBU KUKUA mi sijasoma nina elimu ya form iv siwez kulilia penzi la wajinga wajinga totoz mingi mpaka bas
 
🤣🤣🤣Hili jambo nimeshindwa kufanya maamzi baada yakuharambishwa kutafutiwa mke ama kuharakishwa nitafute binti ni mwoe matokeo yake ni kudabhangura tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…