Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

🤣🤣🤣🤣 Mkuu kegel tena!. Atakuambia yeye ana pihechdii.
 
Upumbavu unaokutsna nao ni sawa na upumbavu watakao kutsna nao watz kwa kujaribu kuongozwa na SAMIA
 
Hizi hadithi mnazitoaga wapi?

Hata hivyo usijali sana, chukua vielelezo sahihi fuata sheria kwa kufuata ngazi za kisheria.

Siku hizi ndoa za kikristu(Rc) zinavunjwa kwa kutumia vielelezo sahihi toka mahakamani kama kawaida.

Utaoa mwanamke mwingine atakayekufariji na kukuondolea maumivu.
 
Achana nae tu,endelea kupambana na maisha yako bro,wanawake weng Sana utapata wa kwako
 
Piga puli tu mkuu

Dhana ni zile zile hazijabadilika

Mkono, sabuni au mafuta

Goal lako safi kama mwamnyeto wa yanga
 
Nimeishia hapa...
Mtu mzima wa miaka 36 na PhD, kama mambo ya kifamilia yanakushinda hadi kufikia kutafutiwa mke maana yake elimu yako haijakusaidia kutatua shida zilizokuzunguka.
Mkuu wasomi wengi wa nchi hii ni wajanja wa darasani tu ila kwenye maisha halisi ya kitaani ni mbumbumbu wasiojua mambo mengi sana hivyo msimshangae mleta mada.!
 
Ukigundua mwanamke wako anacheat usijaribu kumpa nafasi ya kumsamehe achana nae na endelea na maisha yako.Mengine yamesemwa na waungwaña.Hapo talaka ni muhimu na inapaswa kuwa kwa haraka
 

Katoe sadaka ya shukrani, umeondolewa Lana, maisha ya Uchungu na visasi, ni swala la mda utakuwa sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…