Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

Fuata Ushauri huu!
1.Siku zote Mwanaume usikubali kutafutiwa mke! Shangazi alikuponza.Tafuta mwenyewe au kama umetafutiwa chunguza na jiridhishe kabla ya kuchukua maamuzi.
2.Huyu tayari alikuwa mke wa mtu haijalishi ulifunga ndoa naye Kanisani
3.Uwe huru sasa kuoa Mwingine
 
Huyo bado ni mke wako, kama aliolewa akiwa na mimba Kiislam ndoa hiyo haiswihi.....Kachukue mkeo wewe!!
 
Hizi stori za kina shigongo na mauki
 
Una miaka mingi na elimu kubwa halafu hata kujitafutia mchumba huwezi ama huwezi kuwaelimisha ndugu zako wakupe uhuru. Sasa ulisoma ili umudu nini? Kujibu mitihani tu?
Elimu ya darasani sio elimu ya maisha!
 

Hii ni hadithi ya kutunga au ni kisa cha kweli???
 
Bongo move.( Mtunzi: Single Mtambalike) Haiingii akirini wala.
 
Karibu vyamani (CHAPUTA & KATAA NDOA) 🤒 😎
Mi nimechomoka huko jioni hii,huyu shetani alitaka kunikamata tuishi tuoane,ila nimekimbia.
Ni mara ya tatu natoka baru,niko nae miaka.
 
Kwa hiyo tu aloyeolewa na mtu mwingine bado unamuita ni mkeo?Hebu acha usumbufu.
 
Huyo bado ni mke wako, kama aliolewa akiwa na mimba Kiislam ndoa hiyo haiswihi.....Kachukue mkeo wewe!!

Hii story hata iweje..

Kama mke hamtaki mume na kamtendea yote hayo. Ni mwanaume asiye jirambua atamtaka tena. Ndio anapitia magunu, asali yataisha. Awaambie kwako kilichotokea, atulie asubirie mengine maishani. Kumrudisha mtu ambaye hakutaki, ataweza tunia shortcut kukuleftisha aendelee na yake.

Huyu anapitia mambo ya kuona ibu nafikiria watu na sio yeye. Inabidi awe mgumu haya yapite. Bora ayaseme mapema hata kama najiona ni mtu wa PhD na katendewa hayo naye ni binadamu hadi kwenye mapenzi ni kitu kingine. Jipende asije ugua na bado itajulikana tu Nora awahi yeye kuonyesha ni mgumu huku anaumia ndani.. Shangazi aambiwe.

Ni funzo kwa wanawake na wanaume hili. Wa kuletewa muhimu bado kumchunguza, aliamini maneno ya shangazi badala ya yeye kumsoma mwanamke mapema as angeepuka haya yote..

Ukiwa na pesa ndio unaweza jua pesa sio kitu kwenye mapenzi.
 
Most likely umecopy facebook kule... nothing realistic
 
PhD ya mambo gani hiyo jombaa??

Sema kina joni kisomo wengi kwenye mapenzi huwa mnazingua sana.

Pole mwamba, muache aende piga moyo konde utapata wako.

Na pia usimwambie kila mtu, waambie wale watu muhimu tu kama wazazi wako na wake na huyo shangazi mtu, marafiki na ndgu wengine unawakaushia mpaka akili yako ikae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…