Unajya maana ya mwamvua? We bado saba.PhD mimba miezi mitatu bado unaamini anapata period🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajya maana ya mwamvua? We bado saba.PhD mimba miezi mitatu bado unaamini anapata period🙄
Iyo PHD ulisomea nini?
Mbona akili za darasa la 5 hizi
Kubalian halo, songq mbele pia amekupa nafasi ya kukumbatia mtu mpya (imagine raga ya kukumbatia damu mpya).Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.

Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea na
Mkuu ndia ya kikristo haivunjwi mtaani wala kwa mihemko. Afuate process.Hao wote ulio wataja ni kuwa sumbua tu mbona yeye hakutaka kuwaambia hao wote hata wazazi wake mbali kaenda Moja Kwa Moja ukweni?
Mwanaume lazima uwe na maamzi magumu ya kusonga mbele tu hao wote Kwa pamoja hawawezi lingana mawazo wapo watakaoshauri kuwa ni pepo tu limempata hivyo aombewe wengine watamwabia ashike ugoni maana Tyr anacheti Cha ndoa nk.
Kama hataki kumuacha huyo mwanamke afanye kama ulivyo shauri.
Wengine muda kama huu Kuna kimada ndani ananipunguzia stress
Mm sina mengiNiliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
NakaziaHapo hamna ndoa tena wewe ni single kaza roho rudi sokoni utapata wa kufanana na wewe...usikubali kutafutiwa
Mkuu unaka,z,zwzzcswa.Iyo PHD ulisomea nini?
Mbona akili za darasa la 5 hizi
😂 hemed huyu huyu Felnando Papi, Karitolinasto Armando Felila, Morientesi, Moravido, Marcelo Kuchito Papa Gichito, Gustavo, Ole Sabaya Hamza Mwamposa Kapumbu, aaih Kardashiani. Wananiita Pumbuyo, Punyeto, Papusi a.k.a Mguu wa mtoto wa miaka saba mpaka nane.Labda PhD ya Hemed😅
Huyo jamaa anaishi na mke wa mtu hapo ni kesi ya ugoni tu inahusika kukiwa na fidia endapo ukitaka nafikiri.Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
PhD ya mchongo. By the way kama chai hivi.PhD mimba miezi mitatu bado unaamini anapata period🙄

Kama sio chai pole sana, pole nyingi kwa kweli.Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na miaka 36, una PhD na kipato kizuri basi kelele ni kuoa.
Kipindi naondoka Tanzania nilikuwa na mchumba, ila kutokana na umbali, alishindwa kuvumilia miaka 3 hivyo nilirudi nikiwa sina mtu. Shangazi yangu aliniunganisha na huyu binti akiniambia ni mtoto wa rafiki yake hivyo anamjua na anajua familia yake vizuri.
Sikupenda mambo ya kuunganishwa lakini baada ya kumuona basi nilichanganyikiwa na mapenzi yakaanza. Kusema kweli tulikuwa vizuri, tunazungumza, tunacheka na ndani ya miezi 6 tulishafika mashabahuni na kuapa mpaka ki*fo kitutenganishe.
Sikujua chochote kuhusu mahusiano yake ya nyuma mpaka wiki mbili baada ya ndoa, baada ya kuwa karibu sana na mke wangu ndipo nikagundua kuwa ile furaha aliyokuwa ananionyesha ilikuwa ni ya kuigiza. Kulikuwa na namba fulani alikuwa anachati nayo mara kwa mara. Sikutaka kumfuatilia ila niliona ni kama ni mama yake, lakini kuna siku meseji za mapenzi zikaingia na nikajiuliza, anachati mapenzi na mama yake?
Basi nikaamua kufuatilia, na kwa ujuzi wangu haikuchukua muda nikajua alikuwa anawasiliana na X wake. Hapo ndipo niligundua kuwa mke wangu kabla yangu alikuwa na mchumba kwa miaka kama 7 hivi, walipendana sana, lakini alipompeleka kwao, mama yake alimkataa kwa sababu ya dini.
Waligoma kupokea mahari na mwaka mzima walikuwa wakimsumbua, binti alikuja kukubali kuachika baada ya kijana kuamua kuoa mwanamke mwingine. Ila bado waliendelea kuwasiliana, lakini binti hakutaka kuniambia akiamini kuwa ningemuacha. Ukweli ni kuwa ningemuacha lakini tayari tumeshaingia kwenye ndoa, tena ya Kikatoliki, utatoka vipi?
Basi tulizungumza, akaomba msamaha na kuniambia hawatawasiliana tena. Lakini baada ya hapo ndipo ikawa shida tena ndani, kila kitu ni kugombana, kuninunia bila sababu. Alikuwa ananifanyia vituko mpaka nikagundua kuwa anatafuta sababu za kugombana ili tu tukinuniana awe bize kuchati na mwanaume wake. Ilifikia kipindi hali ilinichosha, nikamtafuta yule mwanaume kumuomba amuachie mke wangu, si ana mke wake bwana!
Hapo ndipo niliharibu, maana alinitukana sana, akanisema mambo mengi, lakini kubwa lililoniumiza ni kuniambia kuwa mke wangu ni mjamzito na mimba ni yake. Sikuamini kwani nikikumbuka juzi mke wangu ndiye aliyeniambia nimnunulie pedi, ujauzito unatoka wapi? Lakini niliporudi nyumbani kuongea na mke wangu, akaniambia ni kweli ana ujauzito wa miezi 3, lakini mimba ni yangu kwani hajawahi kulala na huyo mwanaume.
Nilipomuuliza kwa nini hukunambia, aliniambia sikujua, kwani bado nilikua naona siku zangu. Nilivyokuwa mjinga niliamini, ila mwezi uliopita mke wangu aliniaga anaenda kwao kujifungua.
Basi tukaongea vizuri nilitaka kumpeleka akaniambia Hapana nitaenda mwenyewe. Sasa juzi mama yake akanipigia simu kuniuliza kwa nini sijampeleka mke wangu kujifungua wakati tulishakubaliana hivyo. Nikamwambia mbona kaniambia anakuja huko! Basi katika kutafuta na kuhangaika, naambiwa mke wangu kaenda ukweni, yaani kwa huyu mwanaume, na huko ndiyo ameenda kujifungua na amebadili dini wamefunga ndoa ya Kiislamu.
Nilimtafuta, akaniambia ni kweli. Akasema nimeamua nisidanganye tena, huyu mtoto si wako, ni wa huyu mwanaume wangu. Nimeamua kubadili dini ili kufuata moyo wangu. Wewe ni mwanaume mzuri sana, ulinipokea na kunikubali na machungu yangu, naamini Mungu atakubariki na mwanamke mwingine.
Lakini mimi sasa ni mke wa mtu, endelea na maisha yako! Kwa kweli sijui nifanye nini, nimechanganyikiwa hata kutoka ndani nashindwa. Sijaweza kumuambia mtu yeyote hata wazazi wangu, siwezi kuongea nao
We jamaa lazima ni muhaya?!