Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nimechekaaa
 
Duuh Dunia hadaa,ulimwengu shujaa!Pole mkuu Bora kaanza yeye,yatakwisha na utasahau hujafiwa ni changamoto tuu.
 
Kitabu cha Kiswahili darasa la Pili miaka hiyo kulikuwa na kibabu kikamdanganya mjukuu kwamba kinaweza kunywa chai ya moto bila kupoza! Chai hii ya motooooo!
 
Kabisa! Nadhani hapa wakatoliki wanaweza kubatilisha hii ndoa, sababu mke hakuwa na nia au alilazimishwa. Ushahidi upo. Hii ndoa ilikuwa batili toka mwanzo
 
Huna baya tajiri
 
PHD Ya UK ?
 
Mwanaume uliekamilika una kazi na maisha yako unapata wapi sababu ya kubembeleza demu ambaye ni dhahiri hata yeye anajiona ni takataka?

Unapata wapi nguvu ya kulalamika ukitaka demu akurejee badala ya kumpa anachotaka (kupigwa chini)?

Unabembeleza ng'ombe ambayo imeamua kukaa mbali na wewe sababu imeshajua kuwa haina viwango vya kuishi na wewe?πŸ€”

Hebu nenda hata UDSM hapo nenda katupe ndoano uone pisikali zilivyojaa tele.
 
Nimeishia hapa...
Mtu mzima wa miaka 36 na PhD, kama mambo ya kifamilia yanakushinda hadi kufikia kutafutiwa mke maana yake elimu yako haijakusaidia kutatua shida zilizokuzunguka.
Hapa nimtetee,amesema aliunganishwa na shangazi yake na baada ya kukutana na binti naye akamuelewa means alikua kwenye standard zake
 
Hapa nimtetee,amesema aliunganishwa na shangazi yake na baada ya kukutana na binti naye akamuelewa means alikua kwenye standard zake
Hii inaweza kuwa chai lakini ina ujumbe na uhalisia wa mambo yanayotokea kwenye jamii,binafsi nina ndoa kama hiyo unayoizungumzia lakini kitu ambacho tumeweshawekana wazi na bibie inapotokea changamoto habari ya mpaka kifo kitutenganishe hakuna . Hizi dini na imani za sasa ni utapeli mtu tafuta amani na furaha kwenye maisha.
 
Sijui kama unaelimu unayosema maana naona huna akili kabisa,yaani kichwa yako ni empty set.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…