Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.

Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae.

Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine simu hapokei ,unawezaje kumsahau mtu kama huyu?.

Na wakati mwingine unaweza unaamua kabisa kumsahau na kujisemea huyu sita mpigia tena simu,lakini ikipita wiki unaanza mkumbuka na kumpigia tena.

Ni namna gani unaweza kuacha kumkumbuka mtu wa namna hii na kuachananae kabisa bila kumtafuta tena?
Futa namba yake acha ku mfollow mitandao ya kijamii tafuta mwingine au fanya mambo yako itakusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpotezee tu tafta goma jingine uwe unapiga mwanzo mwisho
 
Aisee haiusiani na kutafuta hela au ukubwa

Kuna mtu nilimwona kama mara mbili Hivi ila amegoma kuondoka kichwani ni mshirika wa Mr

Ila kila nikikaa picha ya yule jamaa inanijia moyo unajazwa na mahaba

Kiukweli ni kazi ngumu kupingana na upendo unaokuja automatic
Huo ni udhaifu.
 
Ninakuelewa.
 
Anza na mazoezi ya kutembea asubuhi au jioni, jitahidi kutembea kwa umbali angalau km 2. Badili aina ya marafiki ulio wazoea pamoja na kuwacha hizo tamthilia za watu wa asili ya India. MUNGU mweke mbele na kiburudisho chako kaswida au iwe kwaya, nje ya hapo anza kutubu dhambi zao inawezekana ufalme wako wa mbinguni au kuzimu hauko mbali.
 
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.

Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae.

Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine simu hapokei ,unawezaje kumsahau mtu kama huyu?.

Na wakati mwingine unaweza unaamua kabisa kumsahau na kujisemea huyu sita mpigia tena simu,lakini ikipita wiki unaanza mkumbuka na kumpigia tena.

Ni namna gani unaweza kuacha kumkumbuka mtu wa namna hii na kuachananae kabisa bila kumtafuta tena?
Wachana na bangi
 
Kwahiyo huna kabisa mwingine ndio huyohuyo unaemfukuzia.
 
Hivi unaanzaje kumuendekeza mtu ambaye hata hakufikirii.. futa hiyo namba, unfollow insta, unfriend fb then endelea na mambo mengine.
 
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.

Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae.
Dawa ya moto ni moto

Na dawa ya mahusiano ni mahusiano

Hivyo njia pekee ya kumsahau ni kutafuta mahusiano mapya na ndio njia pekee ya kusahau mahusiano ya zamani
 
Ndoo ya maji kichwani huwezi itupa kama mzigo wa Kuni,huwa mtu unaitua pole pole hata kama unaumia

Usifute namba yake,we mpotezee kidogo kidogo mara mojamoja mpigie muombe hata ushauri kwenye ishu zisizohusu mapenzi
Sema changamoto namba ipo kichwani
 
Back
Top Bottom