Mstaarabu Tz
Member
- Jul 18, 2020
- 22
- 50
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye taasisi fulani binafsi iliyopo huko mkoani KAGERA wilaya ya Missenyi, kwakuwa nilikuwa nina shida ya kazi ikabidi nianze tu safari kutoka Mtwara( Masasi) hadi Kagera zaidi ya km elf moja nazani na ukizingatia walinambia NO INTERVIEW ni mimi tu kwenda kuanza kazi, nilitumia siku 3 kufika Kagera, Mungu ni mwema nilianza kazi mwezi wa 9 hadi wa 12 nikarudi likizo Mtwara( familia niliiacha Mtwara), baada ya likizo January 2023 taasisi ilnitumia nauli nkarudi tena Kagera, mwaka 2024 wote nilikuwa Kagera sikuweza kurudi kusinu kwa mwaka huo.
Kwa kipindi chote nafanya kazi nlkuw napokea mshahara na pia nilkuwa nakatwa pesa ya NSSF na bodi ya mkopo, sasa ilipofika mwisho wa mwaka 2023 nlmwambia bosi kuwa nataka kurudi home mara 1, ila nitarudi tena January, tuliagana vizuri nami nkarudi kusin kuona familia, ilipofika January 2024 nlimpgia simu boss anitumie nauli nrudi kazini, lakin cha kushangaza bosi akagoma kutuma nauli na akasema nafasi yangu ishampata mtu mwngne, me nkasema sio kesi, nkamwambia naitaji document( barua ya termination na NSSF) ili nifuatilie mafao yangu, lakin hajafnya ivo hadi naandika uzi huu nimemsumbua tang January 2024.
Kwenda kagera kwasasa naona gharama kubwa coz kipato chang ni kidogo kwasasa. NAOMBENI USHAURI NITUMIE NJIA GANI ILI NIPATE IYO ELA, NINA SHIDA NAYO SANA, na pia kuna baadhi ya miezi ajaweka na hata ajali.
Karibuni