Muhudumu wa afyaBila kutaja kazi yenyewe sisi tutakushauri nini!
Private sectorMuhudumu wa afya
😂 bado sio mzoefu kwenye kutoa hudumaUpo wapi nije kama mteja mpya?
Acha kazi.Mimi ni kijana ninaefanya kazi mahali fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu na huwa tupo wawili
Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu.
katika zamu yangu huwa wateja ni wengi hadi wananizidia uwezo lakini akiingia yeye anapata wateja wachache hadi boss anatamka hilo swala mbele yake na imepelekea yeye kuninunia
Hii imekaaje?
Na nifanye nn ili kuepusha uadui