Nifanyeje ili niepushe uadui na huyu mfanyakazi mwenzangu?

Nifanyeje ili niepushe uadui na huyu mfanyakazi mwenzangu?

lyajody

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
145
Reaction score
196
Mimi ni kijana ninaefanya kazi mahali fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu na huwa tupo wawili

Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu.

Katika zamu yangu huwa wateja ni wengi hadi wananizidia uwezo lakini akiingia yeye anapata wateja wachache hadi boss anatamka hilo suala mbele yake na imepelekea yeye kuninunia

Hii imekaaje?

Na nifanye nini ili kuepusha uadui?
 
Unauza duka la Dawa?
Nweiii wee piga kazi, mambo ya mnuno yasikusumbue.
 
Mimi ni kijana ninaefanya kazi mahali fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu na huwa tupo wawili

Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu.

katika zamu yangu huwa wateja ni wengi hadi wananizidia uwezo lakini akiingia yeye anapata wateja wachache hadi boss anatamka hilo swala mbele yake na imepelekea yeye kuninunia

Hii imekaaje?

Na nifanye nn ili kuepusha uadui
Acha kazi.
 
Vijana wa siku hizi sijui tupoje!! Mkuu hyo pesa unayomzidi mwenzio ndyo sehemu ya wewe kutokea kimaisha
 
Back
Top Bottom